Jinsi ya kuenjoy JF

Jinsi ya kuenjoy JF

Regarding number 5,kwani Jf ina member maarufu na wasio maarufu?!
 
Ndio...Members wote tupo sawa lakini hatulingani !!!!
Vigezo vipi umetumia kujua huyu member ni maarufu na huyu si maarufu?

Na faida ipi unaipata ukiwa maarufu Jf?
[sehemu usiopata hata cent]
 
Vigezo vipi umetumia kujua huyu member ni maarufu na huyu si maarufu?

Na faida ipi unaipata ukiwa maarufu Jf?
[sehemu usiopata hata cent]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna thread hapo juu *nipeni ustar wa JF"....niliandika kifunny zaidi ili kujua km unachouliza...rudi juu kuna link

But kuna wajinga ambao uelewa wao mdogo wamekuja kutukana kwamba nautaka ustaa !!
 
Hivi [emoji1] maana yake nini coz I see it several times
 
sawa ila usiwe muoga hapa jf ni full kuexpress your feelings ila usivunje sheria na taratibu zilizopo.
 
sawa ila usiwe muoga hapa jf ni full kuexpress your feelings ila usivunje sheria na taratibu zilizopo.
Me sio muoga but nipo kifunny zaidi na nikiona watu wananishambulia najua "thread imewashika"....ni km changamoto tu but sipendi kutukana coz ni dalili ya ujinga/kuishiwa point

Thanks Mkubwa...
 
No 5
Izingatiwe bila kujali umaarufu ama ukapuku
 
kazin nzuri sana
Noted bro....
6c5369b493ad97e9b83b9fffd6c99587.jpg
 
Back
Top Bottom