Jinsi ya kuenjoy JF

Na wale wa kutojua utofauti imekaaje mfano mtu anaandika uzi unaohusu vichekesho katika jukwaa la lugha/siasa
 
Na wale wa kutojua utofauti imekaaje mfano mtu anaandika uzi unaohusu vichekesho katika jukwaa la lugha/siasa
Wengi wao ni wageni....kwahiyo usiwalaumu ht me nilianzaga hivyo kwa kukosea jukwaa
ila kuna kundi la wanaofanya kusudi sababu wanajua watapata views nyingi kabla uzi haujahamishwa mfano wengi huweka habari na hoja mchanganyiko au MMU badala ya chit chat....kwahiyo ni mbinu tu
 
Sawa Mkuu ila pia elimu ichukue nafasi yake juu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…