Jinsi ya kuepuka kulipa VAT mara mbili

Jinsi ya kuepuka kulipa VAT mara mbili

bznessX

New Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Nime import bidhaa na nimechajiwa VAT bandarini ila wateja wangu wa Zanzibar wakitaka ingiza mzigo zanzibar wanachajiwa tena VAT,

Nitumie document gani, ili wakionuesha wasichajiwe tena VAT??
 
Sheria za VAT za Tanzania bara ni tofauti na Zanzibar ukipeleka mzigo Zanzibar utatakiwa kulipa tena kulingana na Sheria za Zanzibar
 
Back
Top Bottom