B bznessX New Member Joined Apr 13, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Apr 13, 2018 #1 Nime import bidhaa na nimechajiwa VAT bandarini ila wateja wangu wa Zanzibar wakitaka ingiza mzigo zanzibar wanachajiwa tena VAT, Nitumie document gani, ili wakionuesha wasichajiwe tena VAT??
Nime import bidhaa na nimechajiwa VAT bandarini ila wateja wangu wa Zanzibar wakitaka ingiza mzigo zanzibar wanachajiwa tena VAT, Nitumie document gani, ili wakionuesha wasichajiwe tena VAT??
B bznessX New Member Joined Apr 13, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Apr 13, 2018 Thread starter #2 Natanguliza shukrani,
B bznessX New Member Joined Apr 13, 2018 Posts 4 Reaction score 0 Apr 13, 2018 Thread starter #3 Majibu yanakaribishwa,
B border Senior Member Joined Jun 22, 2017 Posts 146 Reaction score 142 Apr 17, 2018 #4 Sheria za VAT za Tanzania bara ni tofauti na Zanzibar ukipeleka mzigo Zanzibar utatakiwa kulipa tena kulingana na Sheria za Zanzibar
Sheria za VAT za Tanzania bara ni tofauti na Zanzibar ukipeleka mzigo Zanzibar utatakiwa kulipa tena kulingana na Sheria za Zanzibar