Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

anza kuhesabu siku ya tisa baada ya hedhi stop kukojolea ndani mwiko kama unaweza kumwaga nje sawa hadi siku ya 17 unaendelea tena hadi ukiona wageni
 
anza kuhesabu siku ya tisa baada ya hedhi stop kukojolea ndani mwiko kama unaweza kumwaga nje sawa hadi siku ya 17 unaendelea tena hadi ukiona wageni
Je ikitokea nmekojolea siku ya 14 na ikatakiwa vimezwe vidonge vya dhalula vya kuzuia mimba isitungwe panawezekana? If yes, ni dawa gani hizo.?
 
Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
Hahaaaa!!!! Hiyo inaitwa coitus interruption,ina hatari pia,cause ukisha ejaculate lazima kuna sperms zitabaki kwenye penis hata kama ulimwagia nje,so zile sperms zitaingia tu kwenye uzazi wa mwanamke pasipo wew kujua,pale utakapokua unatafuta bao jingine na hii ni rahisi zaid kwa wanawake wenye uke mdogo ambao utasababisha zile sperms ziwe squeezed
 
kwa mawazo ya chap chap ni wawe na show karibu na deepfrizer au waweke chupa ya maji lita moja igande ndo waanze show hatari sana.. ntaifanya hyo mkuu
 
Kuna mmoja nimewahi kumuona anameza panaldo baada ya sex ili kuzuia mimba, sijawahi kujua kama inasaidia kweli labda wataalamu watueleweshe.
Yaa inasaidia lakini itabid unywe dose kubwa soon after sex
 
sina uhakika kuna mtu aliniambia hivi ukiwa unapga show b4 unakata lina moja ya maji ukipga bao kwa sababu ya purukushani ukipumzika hata dakika mbili kojo litakubana au ujitahidi ukishapga bao ukojoe unazisafisha zile mbegu zilizobakia then unaendeleza party two kama cd za bongo movies
 
Hamtokuwa na hofu ya mimba wala haja ya condom
Sio dawa hii. Hata kwenye ndoa kuna nyakati huwa tunahangaika kukwepa utungaji wa mimba!😀😀😀

Jirani yangu ilifika mahala mpaka wazee wake ikabidi wamweke kitako....maana alikuwa anafyatua watoto utadhani katumwa na JPM! Nahisi kuna watoto walikuwa wanapishana miezi kumi au kumi na moja. Hatari sana!
 
KAMWE USITUMIE MADAWA NI MABAYA SANA,IPO NJIA MOJA TU YA KUZUIA MIMBA UNAPOTAKA KUPGA BAO UJITOE LIMWAGIKIE NJE HIYO NDIYO NJIA SAFI NA SALAMA
 
Hahahahah but hilo lina trick yake mkuu, huwa tunatakiwa tutafte mkojo kwa namna yeyote ile kabla ya kuendeleza libeneke. Ile husaidia kuondoa mabaki yaliopo katika njia.
 
If you think withdrawal works, ask my five month pregnant girlfriend. In the end of the day mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa katika haya mambo... Ukienda peku anaweza akakutegeshea mimba bila ridhaa yako...
Hahahahah pole mkuu, haikuwa zali labda.
 
Halafu P2 unatakiw utumie mara moja tu kwa mwezi, ina effect zake unawez ukatapika na kuharisha at once dunia ukaiona chungu sina ham nayo mmi ilinitenda niliimeza mara moja ilichonifanya looo
Daw y huyo mtu atumie uza w mpango kwn anachoogopa nini?ttzo Wa TZ wengi tuna elimu za mtaani dhidi ya hizi kinga z uzaz w mpango.
 
Umeambiwa kila wanapokutana anakuwa katika danger zone, maana yake siku kumi za mwanzo toka breed kuanza zinakuwa tayari zimekwisha! It means within the 8 days you have mentioned! Si kwamba hajui kalenda anajua, yawezekana time jamaa anajisikia kupasua mtaro ndo kipind cha danger zone, sasa swali lake ndo afanyeje katika hiki kipindi ambacho ndo HATARIIIIII?
 
If you think withdrawal works, ask my five month pregnant girlfriend. In the end of the day mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa katika haya mambo... Ukienda peku anaweza akakutegeshea mimba bila ridhaa yako...
Akikutegeshea maana yake atakudanganya kalenda yake na hapo si kosa lako atajioa mwenyewe maana haikuwa ridhaa yako! Lakin kama ww umeambiwa ni hatari days na ukazingatia "WITH-CASH" i.e withdraw hawezi kudaka na hautokuwa tayari kukubaliana na kumuoa kama una unauhakika kuwa ulimwagia maji ya nazi kwenye CHUCHU ZAKE AU KIFUAINI wakati dushee linatema lisasi za moto! Kumuoa binti kwa kigezo cha kukutegeshea mimba ni uzembe wa KUTONGOZA MPYA! (KWANZA KAKAIDI MAKUBALIANO, WA NIN SASA ATAKUSUMBUA HATA KTIK NDOA KWA UONGO WAKE HATA MAMBO MENGINE).
 
Ukiwidraw mkubwa jiachiee kwa raha zote litiririshe hizo mali kwa mwili wake na kwa msaada wa joto lake zitaedelea kumiminika hadi utasikia linasema "Sichangi" then safisha dusheee lako kwa kitambaa safi, ndo uendelee na mchakato wa maandalizi mapya ya next mechi!
 
Hahahahah but hilo lina trick yake mkuu, huwa tunatakiwa tutafte mkojo kwa namna yeyote ile kabla ya kuendeleza libeneke. Ile husaidia kuondoa mabaki yaliopo katika njia.
Hahaaaa!!!! Nilikua sijaijua hiyo
 
Kabisa mkuu, wewe umenielewa vyema, kalenda tunaijua vzr ndio maana tukajua kuna siku zipi ambazo ni za hatari. Sasa kwakuwa siishi nae, huenda yupo hostel, nakuwa na uhakika wa kukutana nae siku za outing day, na siku hzo wanazoruhusiwa kutoka, ndizo huwa ni siku mbaya kwake, unakuta nataka kukutana nae nisitumie kinga, maana kinga nikivaa uume hauwi na nguvu..... Swali ni je, kuna vidonge hata vya dhalula vya kuzuia mimba kama wanavyopewa wale waliobakwa ili wasipate ujauzito? If yes, vinaitwaje? Na vinasaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…