Huwa wanaogopa illegularities,Halafu P2 unatakiw utumie mara moja tu kwa mwezi, ina effect zake unawez ukatapika na kuharisha at once dunia ukaiona chungu sina ham nayo mmi ilinitenda niliimeza mara moja ilichonifanya looo
Daw y huyo mtu atumie uza w mpango kwn anachoogopa nini?ttzo Wa TZ wengi tuna elimu za mtaani dhidi ya hizi kinga z uzaz w mpango.
Raia wanaogopa kwamba mimba zinaweza kuja kukataa badae. Yani mwili ukishazoe binafsi nataka nimtie njiti wakwangu, naskia ikogi poa!Elim y uzaz w mpango inabidi ihusike jamaniii
Watu wa afya wanafanya kazi gani?
Hahaaaa!!!! Wengine wanakwambia tafadhali sana usimwage ndanKavu tamu lakini jiandae Tu kuwa baba ila kuna wanawake wanajua kuzihesabu yani anakwambia mwaga Tu ndanikama huwez vaa Tu condom
Wanaogopa mimba na hawana ujuz wa kuhesabu vizurHahaaaa!!!! Wengine wanakwambia tafadhali sana usimwage ndan
[emoji23] [emoji23] sex ingekua ni uzima wa milele wanaume wengi wangeupata huo uzima....Yani nyie wanaume hamna Huruma, hutaki kumuoa ila papuchi unataka. Ukija kwenye suala la uzazi wa mpango kijiti hata wanaume wanaweza kuiweka, kaweke wewe mwenye shida
Ukiona hataki kukuoa achana nae nyie munaokaa na jamaa zenu 5 yrs kukuoa hakuoi nikija kuleta barua unakataaa katu katu je tusemeje?Yani nyie wanaume hamna Huruma, hutaki kumuoa ila papuchi unataka. Ukija kwenye suala la uzazi wa mpango kijiti hata wanaume wanaweza kuiweka, kaweke wewe mwenye shida
Tatizo uzazi wa mpango una madhara
Hahahaha nenden kwa wataalam watawashaur njia ipi salama zaidRaia wanaogopa kwamba mimba zinaweza kuja kukataa badae. Yani mwili ukishazoe binafsi nataka nimtie njiti wakwangu, naskia ikogi poa!
hichi kijiti kilivyomfanya shosti yangu sina hamu nacho,Raia wanaogopa kwamba mimba zinaweza kuja kukataa badae. Yani mwili ukishazoe binafsi nataka nimtie njiti wakwangu, naskia ikogi poa!
Duh kwa hiyo hicho nacho ni majanga eehhichi kijiti kilivyomfanya shosti yangu sina hamu nacho,
alikua ananenepa tumbo tu,
mara akaanza kupata period zisizoeleweka.
Mwisho akaenda kutoa,
sasa hivi ni mzima na kitambi kimepungua.
Hahahahahha broo hii hatari aiseeeeeee doohKila baada ya tendo, binti anywe maji ya baridi lita moja, hivyo kabla ya tendo hakikisha una lita moja ya maji bariidi, baada tu ya kumaliza tendo, binti aanze kunywa maji! Mimba utazisikia radioni, hii ni njia ambayo nilifundishwa na mtaalamu wa tiba asili, jaribu harafu utuletee mrejesho.
Mkuu ulichoelezea ndo kilichomtokea demu wangu. Mpaka sasa haniamini anasema nilimwaga ndani wakati mi ni king wa withdraw. Najaribu kumuelezea haelewi aseee though miaka mingi huwa tunatumia njia hii na anakua safe.Hahaaaa!!!! Hiyo inaitwa coitus interruption,ina hatari pia,cause ukisha ejaculate lazima kuna sperms zitabaki kwenye penis hata kama ulimwagia nje,so zile sperms zitaingia tu kwenye uzazi wa mwanamke pasipo wew kujua,pale utakapokua unatafuta bao jingine na hii ni rahisi zaid kwa wanawake wenye uke mdogo ambao utasababisha zile sperms ziwe squeezed