Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

Halafu P2 unatakiw utumie mara moja tu kwa mwezi, ina effect zake unawez ukatapika na kuharisha at once dunia ukaiona chungu sina ham nayo mmi ilinitenda niliimeza mara moja ilichonifanya looo
Daw y huyo mtu atumie uza w mpango kwn anachoogopa nini?ttzo Wa TZ wengi tuna elimu za mtaani dhidi ya hizi kinga z uzaz w mpango.

Madhara mengine ya p2 ni yapi mkuu
 
Umekaa kibiashara mno.... Sorry kama utakuwa irritated.
Sijakaa kibiashara nimesha wasaidia watu wengi humu ndani na hawaleti Mrejesho nimeshachoka kuwasaidia watu bure mimi ninapata faida gani?Mimi sio Tajiri ni mtu wa kawaida na sisi Wa-Tanzania tunapenda kusaidiwa kila mara itafika wakati yule anaye kusaidia atataka umlipe na je wewe utaweza kumlipa? Utaweza kumlipa punda anaye kubebea mzigo wako kila siku bila ya kusema kuwa amechoka?
 
Hiyo....p2 kwa kweli hapana .. inasaidia ila inachelewesha hupata hedhi.... Had I miezi sita inachukua hujabld......as hapo c hutamstresstsha huyo binti...... Ye agonge tyuu hizo Lita za mma
....au jumbe kujolea nje..
 
Umeambiwa kila wanapokutana anakuwa katika danger zone, maana yake siku kumi za mwanzo toka breed kuanza zinakuwa tayari zimekwisha! It means within the 8 days you have mentioned! Si kwamba hajui kalenda anajua, yawezekana time jamaa anajisikia kupasua mtaro ndo kipind cha danger zone, sasa swali lake ndo afanyeje katika hiki kipindi ambacho ndo HATARIIIIII?
Kabisa mkuu, wewe umenielewa vyema, kalenda tunaijua vzr ndio maana tukajua kuna siku zipi ambazo ni za hatari. Sasa kwakuwa siishi nae, huenda yupo hostel, nakuwa na uhakika wa kukutana nae siku za outing day, na siku hzo wanazoruhusiwa kutoka, ndizo huwa ni siku mbaya kwake, unakuta nataka kukutana nae nisitumie kinga, maana kinga nikivaa uume hauwi na nguvu..... Swali ni je, kuna vidonge hata vya dhalula vya kuzuia mimba kama wanavyopewa wale waliobakwa ili wasipate ujauzito? If yes, vinaitwaje? Na vinasaidia?
Kabisa mkuu, wewe umenielewa vyema, kalenda tunaijua vzr ndio maana tukajua kuna siku zipi ambazo ni za hatari. Sasa kwakuwa siishi nae, huenda yupo hostel, nakuwa na uhakika wa kukutana nae siku za outing day, na siku hzo wanazoruhusiwa kutoka, ndizo huwa ni siku mbaya kwake, unakuta nataka kukutana nae nisitumie kinga, maana kinga nikivaa uume hauwi na nguvu..... Swali ni je, kuna vidonge hata vya dhalula vya kuzuia mimba kama wanavyopewa wale waliobakwa ili wasipate ujauzito? If yes, vinaitwaje? Na vinasaidia?
vipo vidonge vya dharula vinaitwa 72 anameza ndani ya Masaa 72 yaan ndani ya siku tatu tangu afanye tendo hawezi kupata mimba.

note. sio vizuri kuzizoea kila mwezi.

hizi 72 zinatumika kwa dharula mfano mtoto kabakwa kapelekwa hospital mda huo huo hizi dawa ndo zinatumika.

au kwa wale ambao ni walimu hamjawai kuona mfano mwanafunzi kabakwa wanasisitiza kumkimbiza hospital?? hizi dawa ndo wanawapa. na unameza zote at once. ma Dr mnajua Dawa hii
 
Hz aina za uzazi wa mpango za kisayansi zinaleta changamoto sana. Kuna dada1 rafiki yangu alikua akipata shida kwa ndoa yake ana watoto3 akaamua kufunga kabisa uzazi weeee hua anaumwa mara kwa mara
Njia zote ni mtihani...si mjiulize ni vipi mpaka leo haijapatikana njia rahisi ya kutatua hili tatizo...hii inaonyesha aliyetuumba haungi mkono kufanya tendo hovyo bila malengo.
 
Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
Mmmmmh!! Mwisho mfanye kama yale ya watoto unapompigisha mswaki anameza dawa alafu anatema mate.
 
Kabla hamjafanya achukue kitambaa kilaini kitafaa kile cha bandeji achovye mafuta ya castrol oil hicho kitambaa kiwe kimezungushwa kama kgoroli na kiuzi cha kuning'inia ili kutoa kwa urahisi aingize kwa bibi nusu saa tu mpige show no mimba
Hivyo vitu vya kuingiza havikawii kuwa na madhara baadae kama sio sasa hivi...saratani ya kizazi inavyosumbua nadhani ni bora kukwepa kuingiza bila utafiti wa kutosha kwanza.
 
Kila baada ya tendo, binti anywe maji ya baridi lita moja, hivyo kabla ya tendo hakikisha una lita moja ya maji bariidi, baada tu ya kumaliza tendo, binti aanze kunywa maji! Mimba utazisikia radioni, hii ni njia ambayo nilifundishwa na mtaalamu wa tiba asili, jaribu harafu utuletee mrejesho.
Katika hayo majaribio ikitokea akipata mimba afanye nini?
 
Madhara mengine ya p2 ni yapi mkuu
P2 inahamisha mzunguko wa hedhi.mfano msichana akimeza p2 akawa mzungukobwake say anataraji kuanza trh 20 basi inawezarushwa hata majuma mawili mbele ila baada ya hapo anastabilize
 
Back
Top Bottom