Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emergency contraceptives
Piga punyeto, haina siku ya hatariBado ni wa kusoma..... Yupo chuo cha ualimu, si sahihi kumuoa na abebe mimba
Halafu P2 unatakiw utumie mara moja tu kwa mwezi, ina effect zake unawez ukatapika na kuharisha at once dunia ukaiona chungu sina ham nayo mmi ilinitenda niliimeza mara moja ilichonifanya looo
Daw y huyo mtu atumie uza w mpango kwn anachoogopa nini?ttzo Wa TZ wengi tuna elimu za mtaani dhidi ya hizi kinga z uzaz w mpango.
Ndio hayo tu, nda y kibox chake kuna kikaratasi cha maelezo soma utaelewa ila sana sana n hzo tu kichefuchefu n kutapikMadhara mengine ya p2 ni yapi mkuu
Huna utani na kazi yako safiii saanaaNitafute mimi nikupe dawa ya asili ya uzazi wa mpango Dawa zisizo kuwa na madhara yoyote yale ukizihitaji dawa zangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Condom vp mkuu, maana m ni mwendo wa rafuridder2KAMWE USITUMIE MADAWA NI MABAYA SANA,IPO NJIA MOJA TU YA KUZUIA MIMBA UNAPOTAKA KUPGA BAO UJITOE LIMWAGIKIE NJE HIYO NDIYO NJIA SAFI NA SALAMA
Aisee hamna kitu cpend kama ndomCondom vp mkuu, maana m ni mwendo wa rafuridder2
Iyo unafanya ndan ya saa 24Kwamfano tukifanya usiku kucha, alafu akameza kesho asubhi hapo itakuwaje?
Umekaa kibiashara mno.... Sorry kama utakuwa irritated.Nitafute mimi nikupe dawa ya asili ya uzazi wa mpango Dawa zisizo kuwa na madhara yoyote yale ukizihitaji dawa zangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Sijakaa kibiashara nimesha wasaidia watu wengi humu ndani na hawaleti Mrejesho nimeshachoka kuwasaidia watu bure mimi ninapata faida gani?Mimi sio Tajiri ni mtu wa kawaida na sisi Wa-Tanzania tunapenda kusaidiwa kila mara itafika wakati yule anaye kusaidia atataka umlipe na je wewe utaweza kumlipa? Utaweza kumlipa punda anaye kubebea mzigo wako kila siku bila ya kusema kuwa amechoka?Umekaa kibiashara mno.... Sorry kama utakuwa irritated.
0713Ndogo ndio nini?
Umeambiwa kila wanapokutana anakuwa katika danger zone, maana yake siku kumi za mwanzo toka breed kuanza zinakuwa tayari zimekwisha! It means within the 8 days you have mentioned! Si kwamba hajui kalenda anajua, yawezekana time jamaa anajisikia kupasua mtaro ndo kipind cha danger zone, sasa swali lake ndo afanyeje katika hiki kipindi ambacho ndo HATARIIIIII?
Kabisa mkuu, wewe umenielewa vyema, kalenda tunaijua vzr ndio maana tukajua kuna siku zipi ambazo ni za hatari. Sasa kwakuwa siishi nae, huenda yupo hostel, nakuwa na uhakika wa kukutana nae siku za outing day, na siku hzo wanazoruhusiwa kutoka, ndizo huwa ni siku mbaya kwake, unakuta nataka kukutana nae nisitumie kinga, maana kinga nikivaa uume hauwi na nguvu..... Swali ni je, kuna vidonge hata vya dhalula vya kuzuia mimba kama wanavyopewa wale waliobakwa ili wasipate ujauzito? If yes, vinaitwaje? Na vinasaidia?
vipo vidonge vya dharula vinaitwa 72 anameza ndani ya Masaa 72 yaan ndani ya siku tatu tangu afanye tendo hawezi kupata mimba.Kabisa mkuu, wewe umenielewa vyema, kalenda tunaijua vzr ndio maana tukajua kuna siku zipi ambazo ni za hatari. Sasa kwakuwa siishi nae, huenda yupo hostel, nakuwa na uhakika wa kukutana nae siku za outing day, na siku hzo wanazoruhusiwa kutoka, ndizo huwa ni siku mbaya kwake, unakuta nataka kukutana nae nisitumie kinga, maana kinga nikivaa uume hauwi na nguvu..... Swali ni je, kuna vidonge hata vya dhalula vya kuzuia mimba kama wanavyopewa wale waliobakwa ili wasipate ujauzito? If yes, vinaitwaje? Na vinasaidia?
Mbona mi nimeweza, huu mwaka wa 15 sasa natoa nje, ukiizoea haikupi shida, ni timing tu basiMwanaume anayeweza hiyo namba 1 bado hajazaliwa
Njia zote ni mtihani...si mjiulize ni vipi mpaka leo haijapatikana njia rahisi ya kutatua hili tatizo...hii inaonyesha aliyetuumba haungi mkono kufanya tendo hovyo bila malengo.Hz aina za uzazi wa mpango za kisayansi zinaleta changamoto sana. Kuna dada1 rafiki yangu alikua akipata shida kwa ndoa yake ana watoto3 akaamua kufunga kabisa uzazi weeee hua anaumwa mara kwa mara
Mmmmmh!! Mwisho mfanye kama yale ya watoto unapompigisha mswaki anameza dawa alafu anatema mate.Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
Hivyo vitu vya kuingiza havikawii kuwa na madhara baadae kama sio sasa hivi...saratani ya kizazi inavyosumbua nadhani ni bora kukwepa kuingiza bila utafiti wa kutosha kwanza.Kabla hamjafanya achukue kitambaa kilaini kitafaa kile cha bandeji achovye mafuta ya castrol oil hicho kitambaa kiwe kimezungushwa kama kgoroli na kiuzi cha kuning'inia ili kutoa kwa urahisi aingize kwa bibi nusu saa tu mpige show no mimba
Katika hayo majaribio ikitokea akipata mimba afanye nini?Kila baada ya tendo, binti anywe maji ya baridi lita moja, hivyo kabla ya tendo hakikisha una lita moja ya maji bariidi, baada tu ya kumaliza tendo, binti aanze kunywa maji! Mimba utazisikia radioni, hii ni njia ambayo nilifundishwa na mtaalamu wa tiba asili, jaribu harafu utuletee mrejesho.
P2 inahamisha mzunguko wa hedhi.mfano msichana akimeza p2 akawa mzungukobwake say anataraji kuanza trh 20 basi inawezarushwa hata majuma mawili mbele ila baada ya hapo anastabilizeMadhara mengine ya p2 ni yapi mkuu