Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

Baada ya tendo anywe frajl ka tano iv apo mimba ata sk moja husikii n mwaka wa tano ss hii njia haijawah niangusha.
 
Baada ya tendo anywe frajl ka tano iv apo mimba ata sk moja husikii n mwaka wa tano ss hii njia haijawah niangusha.
Kwamfano tukifanya usiku kucha, alafu akameza kesho asubhi hapo itakuwaje?
 
Ni nzuri hasa kwa wale ambao tarehe zao za hedhi hazibadilikibadiliki!
 
Una maono ya mbalii....guess una macho matatu...
 
Wonders shall never end
Eti ukivaa condom Dudu linakuwaje?
 
Duuuh
 
Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
Hii njia ni hatari zaidi, labda upige bao moja na kumaliza game.
Ila kama unaendelea, kunakuwa na shahawa zimebakia kwenye njia ya uume, unapoendelea zile zinatoka na kwenda kurutubisha yai
 
Je ukirudia tendo hata mara4 napo anywe lita4?
Jee.... Kama utalala nae usiku kucha!? Kila tendo lita mojaa ama mnapoona hamrudii tena ndio anywe?
Naomba ufafanuzi tafadhali.

Atapaswa awe na bomba la Dawasco ndani. Wakati anaendelea kugegedwa koki inakuwa mdomoni mwa mdada.
 
Hii njia ni hatari zaidi, labda upige bao moja na kumaliza game.
Ila kama unaendelea, kunakuwa na shahawa zimebakia kwenye njia ya uume, unapoendelea zile zinatoka na kwenda kurutubisha yai
unatakiwa ukojoe kila baada ya tendo mkuu ili uflashi mabaki ya shahawa
 
Nafikiri kinachibaki kwenye njia ya mkojo ni manii kwa wingi si shahawa maana manii ndo husafirisha shahawa aka mbegu
 
If you think withdrawal works, ask my five month pregnant girlfriend. In the end of the day mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa katika haya mambo... Ukienda peku anaweza akakutegeshea mimba bila ridhaa yako...
Watu wanasahau kuna pre ejaculation pia.
Halafu mkuu kasema akivaa kinga nguvu zinapungua, hii inatoa picha ya kuwa hayuko very active sexually hata asipotumia kinga. Kwa yeye kujaribu withdrawal inaweza kuwa shida, maana siyo zoezi rahisi kama siyo expert.
Njia bora ni kuepuka uasherati, angoje ndoa.
 
Hujamsaidia ndg. Kwani kwenye ndoa hakuhitajiki mimba gavana??umesikia kule ni mimba mwendo mdundo?? tuzingatie hoja. Kinachotakiwa njia za kumsaidia jamaa asimpe mimba mwenzi wake hovyo
 
Hujamsaidia ndg. Kwani kwenye ndoa hakuhitajiki mimba gavana??umesikia kule ni mimba mwendo mdundo?? tuzingatie hoja. Kinachotakiwa njia za kumsaidia jamaa asimpe mimba mwenzi wake hovyo
Akiwa kwenye ndoa nitamshauri kama mwana ndoa, nje ya ndoa ushauri pekee ni kuacha uasherati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…