JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza.
Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo.
Uliza mrejesho kutoka kwa watu wengine ambao wamefanya kazi hiyo au walitumia bidhaa hiyo ili kupata ukweli
Upvote
0