Kuwa Dealer ni next level mzee. Nadhani ndio maana nao wame mention kama ni area yenye fursa.Gemstone dealer ,kama ilivyobainishwa kwenye kikao cha leo cha madini hivyo nahitaji mchanganuo kutoka hapo kama kuna subclass ndio kuzielezea
Mjuzi niko hapa!Kuwa Dealer ni next level mzee. Nadhani ndio maana nao wame mention kama ni area yenye fursa.
Anyway ngoja waje wajuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi unavyokuja toka Kigoma ulikuja na uchawi wa madini auMjuzi niko hapa!
ha ha ha! mimi nimekujibu kwa uchokozi tu mkuu, kwema lakini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi unavyokuja toka Kigoma ulikuja na uchawi wa madini au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema boss. Maisha vipiha ha ha! mimi nimekujibu kwa uchokozi tu mkuu, kwema lakini.
Siyo mbaya, aliye juu anasaidia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema boss. Maisha vipi
Uko wapi sasa, nataka tukae wote siku tule sana VyomboSiyo mbaya, aliye juu anasaidia.
ha ha ha, wewe mwehu kweli mkuu! mimi hizo mambo sitaki sipendi. Lete dili za hela.Uko wapi sasa, nataka tukae wote siku tule sana Vyombo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ntakuwa nakutag mkuu. Sasa kama huli vilaji unakula nn sasaha ha ha, wewe mwehu kweli mkuu! mimi hizo mambo sitaki sipendi. Lete dili za hela.
Halafu kwanini siku hizi huni Tag kwenye thread kadhaa? Maana niko bize sana siku hizi.
Mkuu, mimi nipo nipo tu! Kwa ufupi nadhani sina starehe zaidi ya kula chakula, napenda sana kula, nadhani kuliko chochote kile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ntakuwa nakutag mkuu. Sasa kama huli vilaji unakula nn sasa
Yes inabid tupate nyamachoma moja safi sanaMkuu, mimi nipo nipo tu! Kwa ufupi nadhani sina starehe zaidi ya kula chakula, napenda sana kula, nadhani kuliko chochote kile.
Kuna leseni 2 Broker na dealer. Broker ni $125 na dealer ni $1200. Broker anafanya kazi ndani ya kanda husika ya madini, dealer ni mkubwa ananunua kwa broker, anamiliki sonara, workshop ya kukata madini na kusafirisha nje ya nchiGemstone dealer ,kama ilivyobainishwa kwenye kikao cha leo cha madini hivyo nahitaji mchanganuo kutoka hapo kama kuna subclass ndio kuzielezea
shukran kwa taarifaKuwa Dealer ni next level mzee. Nadhani ndio maana nao wame mention kama ni area yenye fursa.
Anyway ngoja waje wajuzi
Kuna leseni 2 Broker na dealer. Broker ni $125 na dealer ni $1200. Broker anafanya kazi ndani ya kanda husika ya madini, dealer ni mkubwa ananunua kwa broker, anamiliki sonara, workshop ya kukata madini na kusafirisha nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria mpya kuanzia 2018/19 leseni itaexpire June 31, utatakiwa kurenew. Broker ina makundi 3.. colored gemstones, diamond & metalHapo inakuaje hiyo $1200 inalipwa kila mwaka? Pia nahitaji kujua hiyo ni kwa ajili ya gemstone moja au gemstone zote utakazokuwa unafanyia biashara
Sheria mpya kuanzia 2018/19 leseni itaexpire June 31, utatakiwa kurenew. Broker ina makundi 3.. colored gemstones, diamond & metal
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu uliza chochote hata pmShukrani kwa kunipa mwanga ,maana nimeona madini tz yanauzwa bei ndogo(local) ukilinganisha na soko la dunia