Habar wanabodi
Kutokana na kikao cha wadau wa madini kilichofanyika leo ;nimegundua kuna fursa hasa kwenye biashara hii ya vito vya thamani,
Lengo la uzi huu ni kufahamishana ni taratibu gani za kufuata kuweza kuwa gemstone dealer pia na changamoto zake,wenye uelewa na hili suala naomba nipate abc zake.