Jinsi ya kufanya biashara ya vito vya thamani (Gemstone dealer)

Jinsi ya kufanya biashara ya vito vya thamani (Gemstone dealer)

Habar wanabodi
Kutokana na kikao cha wadau wa madini kilichofanyika leo ;nimegundua kuna fursa hasa kwenye biashara hii ya vito vya thamani,

Lengo la uzi huu ni kufahamishana ni taratibu gani za kufuata kuweza kuwa gemstone dealer pia na changamoto zake,wenye uelewa na hili suala naomba nipate abc zake.

Karibu uliza chochote hata pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mimi kuna jiwe silijui kama dini au lah,, yani linaniumiza kichwa naomba msaada Kwenye
IMG_20200518_084908.jpg
 
Back
Top Bottom