ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Mkuu nimeenda BancABC na Equity kwa ajili ya kupata VISA card maana MasterCard ya CRDB imenichefua. Benki zote wameniahidi kwa uhakika kuwa hakuna charges zozote za kutumia kadi kwa ajili ya malipo online. Hili jambo napata nalo ukakasi mkubwa kuliamini maana najua biashara ya mabenki inapenda makato kuliko kitu chochote.Equity bank
Why Equity?
- Wana flat rate ya makato ya TZS 300 (Mia tatu tu) kwa kila utakachofanya kwa kadi yako
- Wakati kwa benki zingine makato ni asilimia fulani ya muamala utakaofanya. Hivyo ukifaya muamala Mkubwa na makato makubwa.
Andaa TZS 15,000.
Kumbuka hiyo fedha ni yako na waweza kuitoa baada ya kupewa kadi.
Niko kwenye hatua za kupata kadi ya Equity, nitaleta mrejesho juu ya hili la makato. Asante.