Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Ninaheshimu dini ya mtu yeyote. Lakini ukweli lazima tuuseme (Hakuna kitu kinachoitwa mungu wala shetani).
Unajua kifungo cha dini ni kibaya sana kuliko vifungo vyote. Ningekuomba uwe na fikra huru.
Naweza kupata wapi private mawasiliano yako mkuu maana nataka ubongo wangu ufanye kazi
 
Anza kufanya meditation na baada ya kupata uwezo mkubwa utajua ukweli ni nini. Niwewe mwenyewe utajua what is your nature.
Pia naomba kujua uko level ya ngapi kwenye meditation. Na benefits ulizopata toka kwenye meditation
 
Kaka nimekupata sana umefunguka kwa yale ulio nayo nafsini . swalu kwako, kwa nini unaomba kupitia meditation??? Kuna faida zipi unapata? Na kwa nini unaona ni vyema uendelee kuwa mwema tu na sio mwovu? Je kuna ubaya gani mimi nikiua au kulipa visasi kwa wengine? Its a free world no limit in your actions
 
i usually don't answer people of ur type....!!! I just ignore you....!!!
When you ignore someone's question it means you failed to defend your point. And this shows that you said what you heard somewhere but not within you. Pia huna ushahid wa kutosha kwamba Mungu hayupo but you just say to entertain your brain. Everything has a source. Where is yours?????????
 
Mungu amekwisha uhukumu ulimwengu huu na ndio maana mabaya yanatokea na yeye amekaa kimya tu isipokua kwa wale waliokombolewa kwa damu ya Yesu hawataingia hukumuni. Moto wa Jehanum upo na utawachoma wengi tu hasa wale wasiojihusisha kuzishika amri za Mungu. Ukifanya meditation Mungu huwa anaongea unasikia sauti yake. Cha kushangaza nyie mnafanya meditation halafu mnakataa hamna Mungu. Unapoingia meditation unaingia spiritual world, so who do you think is the master of spiritual world? Who overcome all these wicked powers? That is God. Shetani mwenyewe anakiri uwepo wa Mungu wewe ni nani ukatae kwamab hakuna Mungu.

Watu wamekwenda underworld serving lucifer wanajua siri nyingi sana za dunia hii na wako super power of doing anything in this world they can be everywhere at one time. But there is a master who control the underworld and is Lucifer.

Ushauri wangu ni kwamba unafanya meditation but you should know that there is 2 rulling spiritual powers over humans but the overcoming power is from God himself. You can not see him but you can hear him through meditation based on his word. Mefitation away from the word of God is satanic and is the doorway to hell. Accept it or Not.
 
Hivi meditation hiyo haina madhara?
 
safi
 
Ina madhara kama huna neno la Mungu kwa wingi. Maana unapoanza kufanya meditation kuna kipindi utaanza kutawasiliana na spirits ambazo zaweza kukupeleka mahali pabaya.
Mi napata wasiwasi Na hizo meditation kwani waanzisha nyuzi za aina hiyo karibia wote nawaona wanapinga uwepo wa Mungu waziwazi
 
Mi napata wasiwasi Na hizo meditation kwani waanzisha nyuzi za aina hiyo karibia wote nawaona wanapinga uwepo wa Mungu waziwazi
Ni kweli zina utatanishi maana asili yake ni hawa wanaojiita wabudha. Budha wanaabudu miungu ndio wanafanya sana hiyo mefitation mpaka wanaponya magonjwa kwa kutafakari tu. Wanafanya miujiza kwa kutafakari tu sasa Mungu wao ndio anawapa hizo nguvu kwenye meditation
 
Sasa ni nn mwanzo wa binadamu? Nani aliyewaumba binadamu? How about causes and effects of human being?
 
Habar wadau. Muanziha uzi naomba kujua kama kunauwezekano wa kutumia meditation kupata mafanikio ya kifedha pil kuweze kujenga mawazo na mbinu za shughul au biashara ya kufanya ambayo itakuwana return kubwa.
Kama hilo linawezekana then how
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…