Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Annael hebu endelea na mada maana maswali mengi hayahusiani na mada hivyo achana nayo.

Japo sikuungi mkono kwamba hakuna Mungu ila naamini kwamba tuna nguvu nyingi na kila kitu ndani yetu,yaani sisi kama spirits hatuna mipaka. Hii imo kwenye biblia kwani Mungu alituumba kwa sura yake na mfano wake.
 
Near death experience ni yangu mimi. Lakini practical inafanyika through meditation.

Nimesema near death huwa inatokea automatically huwezi ukaifanya.

hii near death experience ni hatari sana watu wengi huwatokea lakini cha kushangaza doctors wana conclude kwamba mgonjwa amefariki wakati ukweli ni kwamba hajafa matokeo yake anaenda kufia mochwari kwenye friji tuwe makini jamani.
 

Mdau, huvi vitabu havisemi kwamba uislam au ukristo si njia nzuri ya kumuendea Mungu bali..vinaonesha jinsi gan mafunzo tuliyonayo leo yamekutwisted sana from the original...teachings za founding fathers...vinaonesha falacy nyingi sana ambazo zimekuwa added in the due course of history...waandishi ninmaprofesa wa historia na theology...wanachofanya ni kukuexpose kwenye issues of substances...some u have never thought to have been copied from other cultures and scholar opinions..conclusion zao zinakuweka wewe katika hali ya tafakuri kubwa sana...na utatamani watu waelewe mambo flan flan...ila hutaweza kuwaelewesha....bse majority hawakubali kusikiliza wala kujua behind the scene...!! I suggest read the two books or tafta lectures zao kwenye youtube....zipo!!
 

naona umeongelea mabaya tuu vipi kuhusu yale mema yaliyotendwa japa duniani ambayo ni mengi kuliko hayo mabaya??

halafu huo ubongo ambao ni a very special organ kuliko zote unadhani ulitoka wapi ?
 
haya mambo ni watu wachache sana wanayaelewa, na hao wanaoyaelewa wengine wanayaelewa kwa mtindo tofauti, na ambao hawayajui kabisa lazima wapate shida sana kukuelewa ila mwisho wa siku tutafikia lengo, mleta mada yuko sahihi kabisa japo inawezekana kuna mengine anaweza asiwe sahihi kwa kiwango flani
 

Hope nawe huamini uwepo wa Mungu, Jee naweza kukuuliza kitu?

Cc: Annael
 
Last edited by a moderator:
Hope nawe huamini uwepo wa Mungu, Jee naweza kukuuliza kitu?

Cc: Annael

Naamini uwepo wa Mungu...ila siamini mambo mengi sana tunayofundishwa kuhusu hiz imani zetu kuu huku africa mashariki...yaan uislam na ukristu....hebu uliza swali lako...huenda nina jibu au lah... kikubwa...mie niko tayari sana kusikiliza kwa makini sana mtu mwenye hoja inayopangua kimantiki imani yangu...si kishabiki...logic and evidence
 
Last edited by a moderator:
Metaphysics na cosmology nimejifunza mtaani.

Vizuri, endelea na mada ikiwezekana shusha ile sredi uliyosema achana na wafia dini hapa tunazungumzia the hidden power ambayo kila mtu anayo stick to the point wengine wanajua haya maujanja ila wanajifanya hawajui ili kuwapoteza wenzao na wale wasioamini ndio wale wafia dini wafuata mkumbo.
 
Hahahahahaaaaaaa! :tape:

So unataka kusema wakiristo ni tatizo ila biblia iko sahihi?

Na ikiwa biblia ndio chanzo cha hayo matatizo kwanini unaitumia kama reference kusapoti madai yako????

Ivi unaichukuliaje biblia?

Reference = rejea
 
Mkuu hapo kwenye red panahitajika kuamini tu(kama zilivyo imani zengine ambazo tunaambiwa wamemezeshwa) ili ndiyo tuweze kwenda sawa.

Sijaiona red
But hiyo nguvu haihitaji Imani
Uamini au usiamini ipo tu na ukifanya yanayohitajika ili kuitape utaipata tu
 
Mwenyez mungu yupo na ss tunaish kwa iman so
kama mtu hana iman dawa ni kuachana nae

woga tu wa maisha unakusumbua wewe baki na imani yako uliyo kariri hulazimishwi kuibadilisha ila lazima ukubali kupelekwa kama gari bovu!
 
Sijaiona red
But hiyo nguvu haihitaji Imani
Uamini au usiamini ipo tu na ukifanya yanayohitajika ili kuitape utaipata tu

Tatizo si kusema kufanya yanayohitajika ili kuipata hiyo nguvu ila tatizo ni kinachoelezwa kuhusu chanzo cha hiyo nguvu je ni kweli?

Maana wapo pia wenye kufanya miujiza kwa nguvu ya uchawi na kusema ni nguvu ya mungu na watu wakaamini hivyo.
 
woga tu wa maisha unakusumbua wewe baki na imani yako uliyo kariri hulazimishwi kuibadilisha ila lazima ukubali kupelekwa kama gari bovu!

Hivi kwanini unasema wanaoamini mungu ni waoga wa maisha? Kwani maisha yanaogopesha?
 

wafia dini mnachekesha sana yesu atakuja lini tena?

alivyokuja mara ya mwisho ulimuona?
BTW, yesu as mwalimu wa imani anazungumzia the same thing kuwa binadamu wamelala (hawajitambui)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…