Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Naamini uwepo wa Mungu...ila siamini mambo mengi sana tunayofundishwa kuhusu hiz imani zetu kuu huku africa mashariki...yaan uislam na ukristu....
Well, Actualy we belong on same path but in different houses, hapo underline kwangu ni baadhi ya mambo, also Im Muslim.

hebu uliza swali lako...huenda nina jibu au lah... kikubwa...mie niko tayari sana kusikiliza kwa makini sana mtu mwenye hoja inayopangua kimantiki imani yangu...si kishabiki...logic and evidence

Hata mimi napenda kujadili kwa hoja na uthahidi na sipendi ushabiki.

Hope swali lielekee kwa Annael coz yeye haamini kabisa uwepo wa Mungu anaeongelewa kwenye dini, but si vibaya hata nawe ukijibu.

Ktk vitabu [Quran and Bible] kuna visa vingi na tofauti ambavyo vinashawishi uwepo wa Mungu kimatiki, kwa mfano kisa cha Faraoh [Firauni] Ikiwa si nguvu za Mungu zilizotumika kuuhifadhi (kuufanya usioze) ule mwili wake kwa karne nyingi (hope si chini ya miaka 2500)

SWALI
Ni nini kilichofanya ule mwili uwepo hadi leo?????

Nb:
Ikumbukwe ule mwili ulishafanyiwa jitihada nyingi za kuupoteza kabla ya kuwepo pale ulipohifadhiwa leo.

Ikumbukwe zamani hakukuwa na utaalamu wowote wa kuhifadhi mwili kama inavyowezekana katika ulimwengu wa leo.

Na ikumbukwe kuna aya tofauti ktk vitabu zinazosema ile ni ahadi ya Mungu kumuadhiri yule mtu kwa makosa yake ya kujita mungu na kuadhibu watu wengi wasio na hatia. Pia uwepo wa ule mwili ni ahadi ya Mungu kumueka yule mtu aonekane na vizazi vyote vijavyo.

(naweza kueka reference kwa kila angalizo hapo)

Natumai kupata majibu toka kwa wote wasioamini uwepo wa Mungu akiwemo Annael
 
Last edited by a moderator:
Continuation of satanism in another way ah ah hizi siku za mwisho hakika
 

uki meditate deeply uta unlock your personal power, mental power hizo power zipo mbili nzuri na mbaya uamuzi ni wako utumie ipi.
 

Haya nayo ndio niliyoyafikiria baada ya kusoma post/maswali/hoja zako hasa humo kwenye blue mkuu,..

1.Sidhani kama ni kweli kwamba zaman hawakua na utalaamu wa kuhifadhi maiti-Wamisri walikua na hii taaluma toka enzi na enzi kipindi cha mafarao wa kale....wajuvi watatujuvya zaidi,

2.Hata hizo ahadi za mungu nazo kuhusu huyo farao zinazua maswali mengi kumhusu i.e kwanini amuache farao afanye ubaya wa kuwaua na kuwatesa/kuwatumikisha watu wa mungu bila kosa then aje na ahadi badala ya kuzuia maafa mkuu.

Anyway,...sijui kitu so far
 

Ndugu tafakari vizuri na soma vizuri unakosea mno na unapotea ndugu
 

near death experience ni sawa na kuchungulia kaburi mfano unaweza kupata ajali mbaya au ukaumwa sana watu wakasema jamaa kafa lakini kumbe hujafa hope umenielewa muwe mnaelewa hizi terminology na sio kukurupuka na kumshambulia mleta mada.
 
near death experience ni sawa na kuchungulia kaburi mfano unaweza kupata ajali mbaya au ukaumwa sana watu wakasema jamaa kafa lakini kumbe hujafa hope umenielewa muwe mnaelewa hizi terminology na sio kukurupuka na kumshambulia mleta mada.

Ingetosha kutoa maelezo, hapakua na haja ya kusema nakurupuka naomba kwanza tuliweke hilo sawa. Umefuatilia vizuri tumetokea wapi hadi kufikia hiyo kauli yangu?

Kwa hiyo wewe unaona sijaelewa hiyo maana ya near death experinces? Tatizo ni kwamba hiyo ni case by case, haimpati kila mtu na sio lazima impate japo kila mtu anakufa, na kila mtu anakufa kwa aina yake. Hiyo inamaanisha hatuwezi kupingana au kukubaliana nae zaidi ya kukubali tu kwa vile yeye ndio aliexperince hicho kitu ambacho kwa mtazamo wake anakiita near death experience!

Ndio maana nimemuomba alete hizo practical zake na near death experience yake tuijadili kitu ambacho ameahidi anajiandaa ili aje kamili kamili.
 
Inatokea automatically kivipi? Kwa mtu wa namna gani? Mbona mimi haijawahinitokea?

unaomba ikutokee?
jitundike kitanzi alafu me nitakuja kukata kamba!

wale wanaojinyonga wakiokolewa huwaga hawarudii tena!

usiombe roho ichukue muda kutoka bora ufe ghafla.
 

Exactly;
 
naona umeongelea mabaya tuu vipi kuhusu yale mema yaliyotendwa japa duniani ambayo ni mengi kuliko hayo mabaya??

halafu huo ubongo ambao ni a very special organ kuliko zote unadhani ulitoka wapi ?

mr.presdent pole kwa kukata tamaa vitabu vingi vya Mungu viliharibiwa na mikono ya watu..come down and read qur'an page 2 page your heart will cool forever. Saiz zipo za swahili,english n xo on. Read it page to page when you complete it call me on 0712860468.
 
Wewe ulishawahi kutokewa na hali hiyo?

Tell us what have you been experienced on that state.

Na ndio maana nikasema kama hakimtokei kila mtu ina maana kwa muktadha huo, sisi wengine itabidi tusadiki tu kile atakachokisema yeye, hatutakua na uwezo wa kutia neno hapo!
 

satanism dogmatic doctrines at work.....
 

kasome vitabu vingi zaidi sio handout...dini ya kikristo haijaletwa na wamissionary wa kizungu, dini ya kikristo ilianza miaka mingi hata kabla ya kristo...soma histioria ya ukristo ghana, ethiopia, misri etc na hata baada ya kristo ukristo ulitoka Asia(Mesopotamia, canan, ) ukaja Africa baadae ukaenda Ulaya na ndipo ukaanza kusambaa duniani kote....ustupotoshe mpendwa.
 

Sidhani kwamba zamani kulikua na utaalamu wa kumuhifadhi mtu kiasi cha kufika karne 3 bila kuoza, tukiacha kesi ya Faraoh, hakuna ithibati nyengine yoyote inayoonesha kuna mtu alihifadhiwa at least karne 3 save wale watu wa pangoni wanaoelezwa kwenye vitabu, in fact hatuwezi kuthibitisha kisa kile coz hakuna mabaki, hata hivyo vitabu vinasema wale walifanywa vile kwa nguvu/uwezo wa Mungu like Faraoh's case.

Vizuri umesema huna uhakika, tungoje wanaujua huenda wakatoa maelezo tofauti.
...

Hapo kuhusu Mungu kushindwa kuzuia maasi ya Faraoh na badala yake akaamua kumueka tu ili vizazi vimuone, Sijui ni kwanini, but kiimani ni moja kati ya njia za kuamini uwepo wa Mungu.
 
Na ndio maana nikasema kama hakimtokei kila mtu ina maana kwa muktadha huo, sisi wengine itabidi tusadiki tu kile atakachokisema yeye, hatutakua na uwezo wa kutia neno hapo!

Mkuu tusubirie tu hiyo mada nyengine coz amesema ataelezea kwa upana.
 

Mkuu ngoja nikusaidie,hata siku moja mti mzuri hauzai matunda mabaya na mbaya hauzai mazuri...mzabibu hauwezi kuzaa mitini n vice versa.

Hata siku moja usimwamini yule mtumishi anayekuambia eti usifuate matendo yangu ila fuata ninachokuambia.

-Pia njia rahisi ya kumtambua mtumishi yeyote wa uongo au mpenda pesa ni kwa wewe kulisoma na kushika vizuri neno la Mungu kwani hawezi kukupotosha.

-Pia ukiona yeye anasisitiza sana sadaka/matoleo badala ya kuimarisha roho za watu huyo ni kanjanja tu kwasababu huduma haiuzwi

ANGALIZO: Hao makanjanja watumishi wa uongo wapenda pesa ndio wapo wengi sana sikuhizi. Take care.
 

Absolutely kaka hapo nimekuelewa, hao makanjanja wanapena kuhubiri hasa kuhusu "POSSIBLITIES" wanasahau kuwa ipo siku ya hukumu na wanasahau kuhubiri Wokovu from the MOST HIGH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…