Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

Dah nowdays nguvu nyingi inatumika kuwavuta watu ktk Satanism
 
Tatizo si kusema kufanya yanayohitajika ili kuipata hiyo nguvu ila tatizo ni kinachoelezwa kuhusu chanzo cha hiyo nguvu je ni kweli?

Maana wapo pia wenye kufanya miujiza kwa nguvu ya uchawi na kusema ni nguvu ya mungu na watu wakaamini hivyo.

Nguvu ni nguvu tu
Mtu yeyote anaweza kutumia vibaya au vizuri
Mfano Pesa mtu akiwa nayo anaweza akatumia kunywea pombe au akamsaidia mtu ambaye Hana Chakula akala
But chanzo cha Pesa kinaweza kuwa kilekile so Pesa itabaki kuwa Pesa
Then hao unaowaita wachawi Mara nyingi hupata nguvu kupitia vitu physically na nguvu zao zinakuwa na limits
But through meditation mtu hupata nguvu isiyo na mwisho haina chanzo wala mwisho yaani ipo tu
Inafikia mtu anakuwa nguvu hizo
Haihitaji mtu akufanyie miujiza inabidi wewe ndio mfanyaji coz kila kitu unacho
Wala haihitaji umtegemee sana mtu kwa kila kitu coz na ww ni kila kitu
Ili uweze kuelewa chanzo cha nguvu inabidi uwe nguvu means utakuwa chanzo na ww pia
But first step u must be free thinker ili uweze kupambanua vitu vinaendaje
Then utaanza kuelekea katika ukweli coz ukweli haupo nje yako Bali Upo ndani yako na ndio ukweli wenyewe
Thanks
 
Katika kitu ambacho nilitaka kukijua ni chanzo cha hiyo nguvu,lakini inaonekana hakuna mwenye kujua hilo. Na hao wenye kuamini hizo nguvu hutofautiana sana maelezo kuhusu jambo hili.
 
Mkuu ambacho hakina mwanzo hakina mwisho
So hiyo nguvu haina chanzo wala mwisho
Otherwise utajichanganya katika kuelewa hili
Hii ni Sawa na kutaka kujiuliza nini chanzo cha universe wakati ipo infinity
Hapo sijajua kama tunaelewana mkuu
 
Maelezo hayo ya kwamba hiyo nguvu haina mwanzo wala mwisho na hivyo haina chanzo...maelezo haya ndiyo nikaita ni imani kama zilivyo imani zengine tu.
 
Kwa wale wanaocounter attack idea za Annael.....naomba waingie yutube search..documentary inaitwa .....Inner worlds, Outer worlds...by Daniel Schmidt...nadhan mkirejea hapa...mtakuwa na maswali ambayo yamejitosheleza....please take ur time watch...it....kisha uje hapa...uattack....!!
 
Biblia ni moja wa vitabu vya tamaduni za kale. Kuna vitabu vingi sana. Sikatazwi kukisoma kwaajili ya kuunganisha habari zangu nilizogundua kutoka kwenye vitabu vya tamaduni zingine. Mtu aliyeandika biblia alikuwa unconscious ndio maana utakuta kitabu hicho hicho kinajipinga chenyewe.

Mambo ambayo yapo kwenye tamaduni zingine na yapo kwenye biblia inabidi tuyafanyie uchunguzi na tujue ukweli wake.

Kwa mfano kuhusu meditation ipo kwenye torah, quruan na kwenye vitabu vya tamaduni za kihindi, kichina. Na tamaduni za kiafrica "misri". Japo kuwa tamaduni zingine hazijatoa vitabu lakini kuna mafundisho ya kitamaduni tunaweza yapata. Hatimaye tumajua ukweli.

Ndugu yangu Annael,ugumu wa mada kama hii unakuja kwa sababu kuna kundi la watu wanaotumia sayansi kujieleza na kundi lingine hutumia imani kujieleza,katika hali hii kamwe hakuna muafaka mpaka kundi moja likubali kuwa na free mind na kutafakari kile kinachozungumzwa na kundi lingine.Ukiwa na free mind ni rahisi sana kuujua ukweli kama tu utaweza kutafakari na kuunganisha uelewa wa mambo.
Hapo zamani kulikuwa na jamii zenye imani nyingi sana zikiwemo na zile zilizoamini kwamba kuna miungu wengi hata kabla ya dini hizi mbili za uislamu na ukristo hazijatokea.Kwa mfano Roma kipindi hicho waliamini miungu wengi na walidiriki kuwakamata watu walioamini mungu mmoja na kuwafungia kwenye uzio wa simba wenye njaa ili wawe chakula cha simba.
Ukristo na uislamu ulipoanza ulijisambaza maeneo mengi zikiwemo nchi za afrika.Nchi za asia na baadhi ya maneo hazikufanikiwa kufika sawasawa na ndio maana sehemu kama asia dini kubwa ni Budha.Kwa mtu mwelewa dini ni tamaduni tu na si vinginevyo.Leo hii wewe ni mkristo au muislamu si kwa sababu ulichagua uwe hivyo,la hasha, ni kwa sababu waliokutangulia walikuongoza uwe kwenye dini hiyo na kupewa mafundisho tangu ukiwa mdogo yanayoendana na dini hiyo bila kujali kama mafundisho hayo yalikuwa ni ya kweli au la.Leo hii umekuwa mtu mzima unataka kuthibisha kwamba dini yako ni ukweli mtupu kwa kutumia silaha ya imani na si kujua.Kujua na kuamini ni mambo mawili tofauti.
Mtu yeyote mwenye weledi wa kutosha anaposikia mada kama hii hawezi kuanza kupinga,ni lazima ataanza kudadisi ili ajue kama ni kweli au ni batili.Ukianza na kupinga maana yake unajifungia mwenyewe milango yako ya fahamu kujua mambo mengine ambayo pengine ndio ukweli halisi huku uking'ang'ania imani yako ambayo pengine ni mapokeo tu ambayo waliokupa walikupa kwa malengo yao fulani.
Kinachonishangaza ni kwamba wakristo na waislamu wanang'ang'ania kusema kwamba mungu ni mmoja tu bila kujua kwamba hao wenyewe miungu yao inapingana,halafu kwenye mada hii wanajifanya wako upande mmoja.Kung'ang'ania mambo ya kiimani bila kudadisi ni jambo baya sana,jambo hili limefanya kanisa liadhirike miaka ya 1600's baada ya kumfungia Galileo Galilei eti kwa sababu amesema dunia inazunguka jua ambao ni ukweli mtupu.Galileo alitumia sayansi,kanisa lilitumia imani na kusema kwamba Galileo alienda kinyume na mafundisho ya kanisa,baada ya zaidi ya miaka 300 leo hii kanisa linakubali kwamba ni kweli dunia inazungua jua(upumbavu mtupu).Kuna mambo mengi kama haya,sitataja yote ambayo kanisa limejichanganya sana na baadaye wanakuja kuukubali ukweli.
Ili uelewe mambo mageni kama haya inabidi uwe na free mind.Kwa sababu ukiupinga ukweli,kamwe ukweli hauwezi kubadilika kuwa uongo,utakuwa unajifariji tu kwa muda kwa kuupinga ukweli.Watu wengi bado hawajastuka na kugundua kwamba karibu mambo yote tunayoyajua sasa katika ulimwengu huu ni batili/uongo.Hakuna jambo gumu kama kuelimisha watu jambo ambalo linapingana na mafundisho rasmi.Inabidi watu hao wawe na free mind ili muweze kuwa pamoja.
Mambo mengine ambayo yaliwahi kupingwa na jamii kubwa ya watu ambapo baada ya muda watu wakaja kuukubali ukweli wake ni;

1.Dunia ni mviringo na Christopher Columbus,kipindi hicho watu walijua dunia ni flat.
2.Kuna galaxy nyingi sana zaidi ya hii yetu ya milky way,kipindi hicho watu waliamini kwamba kuna galaxy moja tu kabla ya kugundulika kwa Edwin Hubble telescope.
3.Ugonjwa wa SMON uliowahi kutokea Japan ulisababishwa na toxic diarrhea drug,kipindi hicho watu waliamini ulisababishwa na virusi.
4.Pellagra ulisababishwa na vitamini B(Niacin) deficiency,kipindi hicho watu waliamini ulisababishwa na evil spirit.
5.Nikola Tesla AC current ilikuwa safe and effective,kipindi hicho watu walijua DC current ndio safe and effective.
6.Kansa haisababishwi na virus,kipindi hicho watu waliamini inasababishwa na virus.

Leo hii bado kuna mambo mengi bado tu wajinga tena kupindukia kwa sababu hatutaki hata kudadisi,ambayo tumedanganywa na tunaendelea kudanganywa,mfano;
1.AIDS inasababishwa na HIV na inaambukizwa kwa njia ya ngono na hauna tiba.Yote haya si kweli,AIDS haisababishwi na HIV na haiambukizwi kwa njia ya ngono na AIDS ina tiba.Sina muda wa kubishana na mtu hapa,ipo siku watu wataujua ukweli halisi.
2.Kansa haina tiba.Si kweli,kansa ina tiba tiba na tiba yake ni very effective,mimi naogopa zaidi malaria kuliko kansa kwa kuwa hata ndani kwangu nina tiba ya kansa.
3.Ebola ni ugonjwa halisi.Si kweli,ebola si ugonjwa halisi na hautaupata kamwe katika maisha yako.
4.Marekani walikwenda mwezini mwaka 1969.Si kweli,Marekani hawajawahi kufika mwezini.Najua lazima utakenua meno.
5.Ndege ziligonga na kulipua WTC towers.Si kweli,hakuna ndege hata moja iliyogonga na kulipua WTC buildings,usinilaumu mimi,jilaumu wewe mwenyewe kwa kutokuwa na free mind ya kujua hili.
6.Bangi haramu.Si kweli,bangi ni mti muhimu sana katika maisha ya mwanadamu kwa kuwa una matumizi mengi zaidi ya kuvuta wanakokusema.Bangi ni tiba safi ya kansa ambayo umeambiwa haina tiba,kwenye ekari moja ya bangi unapata barrel 30 za diesel ambazo ni sawa na lita zaidi ya 3500 za diesel na matumizi mengine mengi tu,je ushajua kwa nini wameharamisha bangi?Kama hujui jilaumu wewe mwenyewe.

Niishie hapo tu.Kwa kifupi hakuna raha hapa duniani kama kujua ukweli wa mambo yaliyofichwa kama haya.Utaishi maisha huru na yenye furaha.Mfano;mimi ninamwona mtu anayeogopa kufanya mapenzi eti kwa sababu anaogopa ukimwi ni sawa na mtu anayekimbia kivuli chake.Na ninakuhakikishia pia kama hujui ukweli wa mambo kama vile kansa,ukipata kansa lazima ikuue,na hiyo ndio moja ya hasara ya kupinga pinga kila jambo jipya linalokuja mbele yako.

Kuwa huru kimawazo upate mambo mapya yenye faida.
 
Huwa nashangaa sana humu watu wanaoamini kwamba hakuna mungu huwaona wanaoamini mungu kuwa ni watu wasio na uhuru wa mawazo,lakini ajabu sijaona hata mmoja kueleza huo uhuru wa mawazo waliyonao ni upi? Maana ukiwafuatilia wanachokifanya ni kuponda imani za wenye kuamini mungu na kusema wanaofuata imani hizo ni kwa sababu wamezikuta kwa wazazi wao tu na mwisho huzieleza imani zao wao wanazoziamini.

Si rahisi kama mnavyofikiri.
 
basi jijibu mwenyewe maana umezidi ujuaji sasa!

Utakuwa hujui maana ya mdahalo wewe...

Usichokijua wewe mtu mwengine anakijua...

Pia unachokijua wewe haina maana kuwa ndio sahihi...

Kumjua Mungu hakuna uhusiano wowote na dini...
 
Ndugu yangu Annael,ugumu wa mada kama hii unakuja kwa sababu kuna kundi la watu wanaotumia sayansi kujieleza na kundi lingine hutumia imani kujieleza,katika hali hii kamwe hakuna muafaka mpaka kundi moja likubali kuwa na free mind na kutafakari kile kinachozungumzwa na kundi lingine.Ukiwa na free mind ni rahisi sana kuujua ukweli kama tu utaweza kutafakari na kuunganisha uelewa wa mambo.
Hapo zamani kulikuwa na jamii zenye imani nyingi sana zikiwemo na zile zilizoamini kwamba kuna miungu wengi hata kabla ya dini hizi mbili za uislamu na ukristo hazijatokea.Kwa mfano Roma kipindi hicho waliamini miungu wengi na walidiriki kuwakamata watu walioamini mungu mmoja na kuwafungia kwenye uzio wa simba wenye njaa ili wawe chakula cha simba.
Ukristo na uislamu ulipoanza ulijisambaza maeneo mengi zikiwemo nchi za afrika.Nchi za asia na baadhi ya maneo hazikufanikiwa kufika sawasawa na ndio maana sehemu kama asia dini kubwa ni Budha.Kwa mtu mwelewa dini ni tamaduni tu na si vinginevyo.Leo hii wewe ni mkristo au muislamu si kwa sababu ulichagua uwe hivyo,la hasha, ni kwa sababu waliokutangulia walikuongoza uwe kwenye dini hiyo na kupewa mafundisho tangu ukiwa mdogo yanayoendana na dini hiyo bila kujali kama mafundisho hayo yalikuwa ni ya kweli au la.Leo hii umekuwa mtu mzima unataka kuthibisha kwamba dini yako ni ukweli mtupu kwa kutumia silaha ya imani na si kujua.Kujua na kuamini ni mambo mawili tofauti.
Mtu yeyote mwenye weledi wa kutosha anaposikia mada kama hii hawezi kuanza kupinga,ni lazima ataanza kudadisi ili ajue kama ni kweli au ni batili.Ukianza na kupinga maana yake unajifungia mwenyewe milango yako ya fahamu kujua mambo mengine ambayo pengine ndio ukweli halisi huku uking'ang'ania imani yako ambayo pengine ni mapokeo tu ambayo waliokupa walikupa kwa malengo yao fulani.
Kinachonishangaza ni kwamba wakristo na waislamu wanang'ang'ania kusema kwamba mungu ni mmoja tu bila kujua kwamba hao wenyewe miungu yao inapingana,halafu kwenye mada hii wanajifanya wako upande mmoja.Kung'ang'ania mambo ya kiimani bila kudadisi ni jambo baya sana,jambo hili limefanya kanisa liadhirike miaka ya 1600's baada ya kumfungia Galileo Galilei eti kwa sababu amesema dunia inazunguka jua ambao ni ukweli mtupu.Galileo alitumia sayansi,kanisa lilitumia imani na kusema kwamba Galileo alienda kinyume na mafundisho ya kanisa,baada ya zaidi ya miaka 300 leo hii kanisa linakubali kwamba ni kweli dunia inazungua jua(upumbavu mtupu).Kuna mambo mengi kama haya,sitataja yote ambayo kanisa limejichanganya sana na baadaye wanakuja kuukubali ukweli.
Ili uelewe mambo mageni kama haya inabidi uwe na free mind.Kwa sababu ukiupinga ukweli,kamwe ukweli hauwezi kubadilika kuwa uongo,utakuwa unajifariji tu kwa muda kwa kuupinga ukweli.Watu wengi bado hawajastuka na kugundua kwamba karibu mambo yote tunayoyajua sasa katika ulimwengu huu ni batili/uongo.Hakuna jambo gumu kama kuelimisha watu jambo ambalo linapingana na mafundisho rasmi.Inabidi watu hao wawe na free mind ili muweze kuwa pamoja.
Mambo mengine ambayo yaliwahi kupingwa na jamii kubwa ya watu ambapo baada ya muda watu wakaja kuukubali ukweli wake ni;

1.Dunia ni mviringo na Christopher Columbus,kipindi hicho watu walijua dunia ni flat.
2.Kuna galaxy nyingi sana zaidi ya hii yetu ya milky way,kipindi hicho watu waliamini kwamba kuna galaxy moja tu kabla ya kugundulika kwa Edwin Hubble telescope.
3.Ugonjwa wa SMON uliowahi kutokea Japan ulisababishwa na toxic diarrhea drug,kipindi hicho watu waliamini ulisababishwa na virusi.
4.Pellagra ulisababishwa na vitamini B(Niacin) deficiency,kipindi hicho watu waliamini ulisababishwa na evil spirit.
5.Nikola Tesla AC current ilikuwa safe and effective,kipindi hicho watu walijua DC current ndio safe and effective.
6.Kansa haisababishwi na virus,kipindi hicho watu waliamini inasababishwa na virus.

Leo hii bado kuna mambo mengi bado tu wajinga tena kupindukia kwa sababu hatutaki hata kudadisi,ambayo tumedanganywa na tunaendelea kudanganywa,mfano;
1.AIDS inasababishwa na HIV na inaambukizwa kwa njia ya ngono na hauna tiba.Yote haya si kweli,AIDS haisababishwi na HIV na haiambukizwi kwa njia ya ngono na AIDS ina tiba.Sina muda wa kubishana na mtu hapa,ipo siku watu wataujua ukweli halisi.
2.Kansa haina tiba.Si kweli,kansa ina tiba tiba na tiba yake ni very effective,mimi naogopa zaidi malaria kuliko kansa kwa kuwa hata ndani kwangu nina tiba ya kansa.
3.Ebola ni ugonjwa halisi.Si kweli,ebola si ugonjwa halisi na hautaupata kamwe katika maisha
yako.
4.Marekani walikwenda mwezini mwaka 1969.Si kweli,Marekani hawajawahi kufika mwezini.Najua lazima utakenua meno.
5.Ndege ziligonga na kulipua WTC towers.Si kweli,hakuna ndege hata moja iliyogonga na kulipua WTC buildings,usinilaumu mimi,jilaumu wewe mwenyewe kwa kutokuwa na free mind ya kujua hili.
6.Bangi haramu.Si kweli,bangi ni mti muhimu sana katika maisha ya mwanadamu kwa kuwa una matumizi mengi zaidi ya kuvuta wanakokusema.Bangi ni tiba safi ya kansa ambayo umeambiwa haina tiba,kwenye ekari moja ya bangi unapata barrel 30 za diesel ambazo ni sawa na lita zaidi ya 3500 za diesel na matumizi mengine mengi tu,je ushajua kwa nini wameharamisha bangi?Kama hujui jilaumu wewe mwenyewe.

Niishie hapo tu.Kwa kifupi hakuna raha hapa duniani kama kujua ukweli wa mambo yaliyofichwa kama haya.Utaishi maisha huru na yenye furaha.Mfano;mimi ninamwona mtu anayeogopa kufanya mapenzi eti kwa sababu anaogopa ukimwi ni sawa na mtu anayekimbia kivuli chake.Na ninakuhakikishia pia kama hujui ukweli wa mambo kama vile kansa,ukipata kansa lazima ikuue,na hiyo ndio moja ya hasara ya kupinga pinga kila jambo jipya linalokuja mbele yako.

Kuwa huru kimawazo upate mambo mapya yenye faida.

Hapo kwenye blue kidogo sijakupata mkuu,...sio kwamba napinga hebu fafanua kidogo i.e ukimwi unaenezwaje na tiba yake nini...kansa tiba yake ni nini zaidi ya bangi mkuu,.......ni ktk kusaka elimu tu wala sio usumbufu
 
Maelezo hayo ya kwamba hiyo nguvu haina mwanzo wala mwisho na hivyo haina chanzo...maelezo haya ndiyo nikaita ni imani kama zilivyo imani zengine tu.

Labda hujanipata vizuri Tu mkuu
But Imani ni kuwa hakika kwa yasiyokuwepo
Hizi energy zipo n u can be it
How comes iwe Imani
Labda uangalie vizuri maana ya Imani na utofautishe na reality
Sidhani kama ww una Imani kwamba Upo Ila najua unajua kuwa Upo
Hapo ndipo tofauti inakuja
 
Great Thinker
 
Hapo kwenye blue kidogo sijakupata mkuu,...sio kwamba napinga hebu fafanua kidogo i.e ukimwi unaenezwaje na tiba yake nini...kansa tiba yake ni nini zaidi ya bangi mkuu,.......ni ktk kusaka elimu tu wala sio usumbufu

Usihofu mkuu,najua mtu anayetaka kuelewa anaulizaje na yule anayetaka kupinga anaulizaje.Ninashauri ufuatilie post zangu humu JF nyingi nilikuwa nazungumzia masuala hayo kwa undani na kutoa evidence za kutosha zikiwemo scientific papers/proof au mifano hai au documentaries.Au ni PM swali lolote nitakujibu,ukitaka kujua ukweli ni rahisi sana ndugu yangu na utaona raha yake katika maisha yako.Nisingependa kukujibu hapa kwa kuwa nitaharibu uelekeo wa thread hii.
 
Nimekupata mkuu,.
 
Hapo kwenye BANGI duu.
 
Hapo kwenye BANGI nimewai kusikia ya kwamba ni tiba ya vitu vingi, sikujua na kansa inatibika kwa bangi. Sisi kazi yetu ni kuwacheka tu RASTAFARIS lakini sisi ni wa kuchekwa zaidi.

Kama pia utawafuatilia vizuri RASTAFARIS utagundua kwamba wana uelewa wa mambo mengi sana zaidi ya yale ya kawaida yanayojulikana na wengi.
 
Labda hujanipata vizuri Tu mkuu
But Imani ni kuwa hakika kwa yasiyokuwepo
Hizi energy zipo n u can be it
How comes iwe Imani
Labda uangalie vizuri maana ya Imani na utofautishe na reality
Sidhani kama ww una Imani kwamba Upo Ila najua unajua kuwa Upo
Hapo ndipo tofauti inakuja

Mkuu unashindwa kuelewa,mie nazungumzia chanzo cha hiyo nguvu kwamba maelezo ya chanzo cha hiyo nguvu ndiyo utata,na nikakupa mfano wa watu wenye kufanya miujiza kisha huwaambia watu kwamba chanzo cha hiyo miujiza ni nguvu za mungu kumbe ukweli ni uchawi. Hivyo hudanganya watu hufanya miujiza kwa kusema hupata nguvu hizo kwa mungu kumbe ni uchawi,hivyo haijalishi kuwa hufanya hiyo miujiza kwa kiasi gani bali chanzo cha nguvu ya hiyo miujiza ndiyo tatizo.

Halafu unaposema imani maana yake ni kuwa na hakika na yasiyokuwepo ni shida kweli mie kuelewa tafsiri hiyo. Yani mtu ajilizishe kabisa kwa hakika kuwa kitu fulani hakipo halafu aje aseme hicho kitu kipo hiyo ndiyo imani?
 
Usihofu mkuu,najua mtu anayetaka kuelewa anaulizaje na yule anayetaka kupinga anaulizaje.Ninashauri ufuatilie post zangu humu JF nyingi nilikuwa nazungumzia masuala hayo kwa undani na kutoa evidence za kutosha zikiwemo scientific papers/proof au mifano hai au documentaries.Au ni PM swali lolote nitakujibu,ukitaka kujua ukweli ni rahisi sana ndugu yangu na utaona raha yake katika maisha yako.Nisingependa kukujibu hapa kwa kuwa nitaharibu uelekeo wa thread hii.

Mkuu kama hutojali ningependa uweke link ya thread uliyoelezea hivyo vitu (alivyouliza IGWE )
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama hutojali ningependa uweke link ya thread uliyoelezea hivyo vitu (alivyouliza IGWE )

Usijali mkuu,tupo hapa kwa ajili ya kubadilishana uelewa.Yaani nashindwa niweke thread gani, zipo nyingi sana lakini zote mimi nilikuwa mmojawapo wa wachangiaji.Hebu cheki hizo hapo chini hasa hiyo ya kwanza.Soma nilichochangia kama kuna swali lolote usisite kuni PM ili tusiharibu thread hii.Kama ungekuwa na muda wa kutosha ungesoma yote niliyoandika na kusibaki na swali maana nimejibu maswali yote yenye utata.Lakini kwa kuwa itakuwia ngumu kutafuta tafuta,wewe uliza tu.

https://www.jamiiforums.com/interna...kuwa-marekani-ndiye-mwanzilishi-wa-ebola.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-humpata-na-huonekana-baada-ya-muda-gani.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-na-itumike-muda-gani-kwa-mtu-aliyebakwa.html
 
Baadhi ya viongozi wa dini wa kikatoliki, anglikana,lutherani,walokole na waislam nao wana meditate unasemaje kuhusu hapo. Acha uongo

Nataka nikwambie kitu kimoja broda,ujue it is possible meditation as it is haina shida,lakini shida ipo pale watu wanapoitumia vibaya ,especially the way huyu jamaa alivyotoa maelekezo ,kwa kufanya meditation kwa ku taja taja vitu vya ajabu,hata yoga ni aina ya meditation,breathing ni aina ingine,zipo nyingi sana.

Nakubali meditation sio za aina zote ni hatari,lakini nimetoa angalizo kuwa makini,zipo nyingi ambazo zinakuingiza kwenye ulimwengu wa mashetani ambao huwezi kutoka huko.
 
Back
Top Bottom