Jinsi ya kufanya ngono salama

Jinsi ya kufanya ngono salama

punyeto sio nzuri sana lkn mtu anakuwa affected kisaikolojia utakuwa hufeel the same ukiwa na mtu kama unavyojifanya mwenyewe nd inakufanya uchoke akili sana
 
Sikubaliani nawe kwenye punyeto. Ina madhara makubwa sana.
 
Umetoa elimu nzur ila suala la punyeto haujatuweka watanzania waazi,inamaana hao wanasayansi hawajaweka waazi nini madhara ya punyeto?? Toa madhara pia!
 
Back
Top Bottom