Naomba msaada na maarifa.
Nimepata shule UK na scholarship tayari.
Shida, wanadai lazima nifaulu mtihani wa IELTS kwa level ya 6.7
Nilifanya TOEFL lakini sikufaulu kihivyo.
Msaada jamani, kuna ambaye amefanya na kufaulu?
What are the tricks?
Nimedata
Nilifanya ielts, sio mgumu ila uwe mwelewa haraka sana wa lugha. Wanakupa stories ndefu na muda mfupi sana wa kujibu maswali. Jitahidi uangalie movies za kizungu sana especially za wamarekani, ukiwaelewa hao basi haisumbui, na kusoma stories/habari ndefu za kingereza ujipime how fast you are kwenye kuelewa story. Ukiweza hayo, hutashindwa mtihani coz mrahisi mno.