JInsi ya kufaulu mtihani wa IELTS

JInsi ya kufaulu mtihani wa IELTS

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wanajamvi,

Naomba msaada na maarifa.
Nimepata shule UK na scholarship tayari.
Shida, wanadai lazima nifaulu mtihani wa IELTS kwa level ya 6.7
Nilifanya TOEFL lakini sikufaulu kihivyo.

Msaada jamani, kuna ambaye amefanya na kufaulu?
What are the tricks?
Nimedata
 
Nafahamu kuwa unatakiw kujiandikisha british council lakini je ambaye amepitia hiyo process. Uzoefu?
 
Nilifanya ielts, sio mgumu ila uwe mwelewa haraka sana wa lugha. Wanakupa stories ndefu na muda mfupi sana wa kujibu maswali. Jitahidi uangalie movies za kizungu sana especially za wamarekani, ukiwaelewa hao basi haisumbui, na kusoma stories/habari ndefu za kingereza ujipime how fast you are kwenye kuelewa story. Ukiweza hayo, hutashindwa mtihani coz mrahisi mno.
 
Asante mkuu je unapata wapi review notes na materials?
 
Mkuu mimi niko mkoani intenet searching ni mgogoro naomba uniwekee link ya ku search
 
Ingia Google Search utapata kila kitu, search ielts sample questions,. Mimi sikumbuki kupewa pamphlets au cd labda km wameanza kufanya hivyo recently.
 
Back
Top Bottom