ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Najua hivyo.Pemba ni capital ya Cabo Delgado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hivyo.Pemba ni capital ya Cabo Delgado.
Sasa sehemu mtu anasafiri kwa Bodaboda unamshauri vipi mtu kutumia njia hiyo wakati option ya kupitia Malawi ipo?
mgodi upi huo nije kutafuta mawe? maelekezo tafadhaliThis is the best route.
Nimeitumia sana njia hiyo kwa safari za Pikipiki kutoka Songea mwendo saa 8 tushaingia mgodini.
Huyu ni rafiki yangu anaishi Pemba, tumeishi naye Bongo sikuwahi kujuwa kama kwao ni Cabo Delgado.Pemba sehemu gani?
Mizigo si ingekua inapita huko maana kwenye border ndogo hazina usumbufu...Hata kama ni Salama, ukiona route haina border to border buses ujuwe kuna walakini, hakuna sehemu yenye fursa wafanyabiashara wa transportation wasifanye research.
Si ndio hapo Sasa? Mimi kwa uzoefu wangu ukiona sehemu Bodaboda ndio tegemeo la usafiri ujuwe kuna shida hapo.Mizigo si ingekua inapita huko maana kwenye border ndogo hazina usumbufu...
Ukiwa na code hizi huwezi kusumbuka wengi wakiona eti boda boda ndio wanakwambia hiyo border ipo shwari kumbe pana vitu vingi vimefunikwa hapo mpaka uwe na code zake...Si ndio hapo Sasa? Mimi kwa uzoefu wangu ukiona sehemu Bodaboda ndio tegemeo la usafiri ujuwe kuna shida hapo.
Hata Shirati Rorya kuna Border ya kuingilia Kenya kwenda Kisumu lakini hakuna usafiri wa basi lolote ni Bodaboda tu ndio zina kwenda Kisumu na barabara ni ya vumbi.
Tofauti na Sirari kuna lami na ndio gateway kubwa ya kuingilia au kutokea Kenya.
Hiyo njia ni kisanga we waache waendelee kudanganyanaUkiwa na code hizi huwezi kusumbuka wengi wakiona eti boda boda ndio wanakwambia hiyo border ipo shwari kumbe pana vitu vingi vimefunikwa hapo mpaka uwe na code zake...
Ngoja nikueleweshe vizuri, kutoka Dar mpaka lilongwe ni umbali mrefu sana, lakini kutoka Mtwara kupitia Songea mpaka Mbababey na kwenda Malawi ni kalibu,Mizigo si ingekua inapita huko maana kwenye border ndogo hazina usumbufu...
Mkuu unanielewesha wakati mimepita karibu mipaka yote kuangalia unafuu wa kodi pana mpaka unaweza kunielekeza kwenye Nchi za SADC labda ujengwe leo...Ngoja nikueleweshe vizuri, kutoka Dar mpaka lilongwe ni umbali mrefu sana, lakini kutoka Mtwara kupitia Songea mpaka Mbababey na kwenda Malawi ni kalibu,
Sasa inashindikana kutumia hii njia kutokana na miundo mbinu, wanajikuta wanatumia mzunguko mrefu wenye miundo mbinu mizuri ambao ni gharama
Sasa hivi gari zote za IT zinazotoka Dar kuja Mikoa ya Niassa Nampula wanapitia Songea,Tatizo linalokuja bado barabara si rafiki hairuhusu kupita magari zaidi ya Tani 15
Mpaka upi? Unazungumzia mkenda border na Congless?Mkuu unanielewesha wakati mimepita karibu mipaka yote kuangalia unafuu wa kodi pana mpaka unaweza kunielekeza kwenye Nchi za SADC labda ujengwe leo...