salmin siraj
Senior Member
- Oct 10, 2017
- 197
- 208
Kuna magonjwa kama kideri yanatakiwa kurudia chanjo kwa miezi mitatu lakini wafugaji wengn wakishawapa pind bado ni vifaranga wanaona wamemalzaNiliwapa chanjo zote lakini mdondo/kideri ulivyoingia tu nikakuta kuku wote 200 wapo chini[emoji41][emoji41][emoji41]
Sijakata tamaa nataka niagize tabora kuku 300 wa miezi 5
Mkuu zungumzia kuhusu chakula zaidi. Maana hao ni kuku wa kiasili. Kwamba watalishwaje na bajeti ikoje. Maana chakula ni asilimia 70 ya gharama za uendeshaji. Unapokuwa na kuku 1000 wa kiasili unawalishaje na uendeshe vipi huo mradi. Asante.
Ili chanjo iwe imara ukimpa kuku kaa siku 7 rudia tena.Niliwahi ahauriwa na dokta wa mifugo.Kuna magonjwa kama kideri yanatakiwa kurudia chanjo kwa miezi mitatu lakini wafugaji wengn wakishawapa pind bado ni vifaranga wanaona wamemalza
Sometimes madactar wanafnya biashara sana kupitia nyie wafugaji kumpa chanjo mara mbili uoni unaongeza gharama zaid kweny uzalishaj n kupunguza faidaIli chanjo iwe imara ukimpa kuku kaa siku 7 rudia tena.Niliwahi ahauriwa na dokta wa mifugo.
Mie wa Mtwara, nilie tu!Umanunua kwa bei gani huko Tabora.
Unauza au unanunua kukuMie wa Mtwara, nilie tu!
Mkuu incubator ya mayai 2000-2500 shilling ngapi, iwe automaticHongereni wafugaji
Kama unahitaji kuagiza incubator from abroad tuwasiliane
Ufugaji unalipa
Naomba kujua uzoefu wako kwenye matumizi ya incubator. Hasa kama ni home made au toka nje,utumiaji wa nishati, n.k.Mkuu mayai yakikaa sana percentage za kutotolewa huwa chini ya 40%...yai lisikae chini ya siku 7 ..zamani nilikua nabisha...sasa hv nakisanya mayai kwa siku 5 napeleka incubator..yanatoka zaidi ya 98%..ukiyaweka kwa 14 yanatoka 80% chunguza hilo...! Sio rahisi kama ulivyoandika...unaweza wapa chanjo zote lakini unakuta vifo bado vinatokea....changamoto iko hapo
Hiyo Mayai 4000 bei 1,850,000/=Mkuu incubator ya mayai 2000-2500 shilling ngapi, iwe automatic
Mie sina incubator mkuu..ila kuna jirani anayo ndo nampelekea anatotoleshaNaomba kujua uzoefu wako kwenye matumizi ya incubator. Hasa kama ni home made au toka nje,utumiaji wa nishati, n.k.
Nataka siku zijazo nitafute incubator ya mayai machache kwa matumizi yangu.
Hawa wauza vifaranga wataniua.
Hizi bei zinanichanganya kweli! Kuna jamaa alinunua ya 560 kwa milioni 3 kasoro kidogo.
hizo zitakua bei za bongo mkuu hiyo bei ni ChinaHizi bei zinanichanganya kweli! Kuna jamaa alinunua ya 560 kwa milioni 3 kasoro kidogo.
Ya mayai 120 ilikuwa milioni moja na kidogo.
Pole my dMie leo wamekufa 4 ...na chanjo wote wamepata...wanatoka maji mdomon sijui ni nn!