Jinsi ya kufikisha kuku 1000 wa asili ndani ya muda mfupi

Pole my d
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€..wamekufa zaidi ya 40 mkuu toka kipindi hicho mkuu mpka may hii mwanzoni.niliambiwa wanabanana so nimewagawanyisha tena naendelea tena ..lakini mie naamini ile mvua ilihusika๐Ÿ˜€ (ramli chonganishi ) ila walobaki wamekuwa watu wazima kbs
 
Pole sana,,sisi Wengine ndiomaana tunaogopaga kufuga kuku,, me nna vikuku 35 vya kienyeji kwajili ya kuwala tu mwenyewe,, huwa wakiumwa nawapaga dawa za binadamu, ususani ile inayoitwa PEN V, inawasaidiaga sana
 
Naifahamu...mm nmefuga kama ww kwa almost 10 yrs nimechoka..nimebadilika..nataka waniletee hela nzuri aisee...!
 
Kweli, ngojea namimi nijipange nijenge banda kubwa nifuge kibiashara ,ntakuja kuchukua ushauri kwako๐Ÿ˜Ž
 
Mtaalam FUSO, kidogo kaongea kitu cha maana hapo juu.

Mi naona tatizo ni kutaka kufuga kuku wengi kwa maramoja. Mwisho unashindwa kuwahudumia.
Nashauri anza kufuga kuku unaoweza kuwahudumia vizuri.
Kuku 50 hadi 100 au 200 ni vizuri kuanza nao.
Pia kama una kuku wakubwa basi weka bango kabisa kuwa unauza kuku kila siku.
Ili kuepukana na mrundikano wa kuku ambao wanamaliza chakula tu na wanaweza vamiwa na magonjwa.
 
Japo comment Yako ni ya muda. hii nikweli kabisa hasa kwenye uhifadhi wa dawa ya kideri inahitaji baridi muda wote Sasa ulikosea kidogo tu haifanyi kazi Tena hapa ndo Kuna shida kubwa Sana.
Wana mafua hao fanya mpango uwape tiba mapema ukichelewa wataambukiza wengine.kingine nilichogundua wauza dawa za mifugo wengi sio waaminifu wengi uwa wanatoa chanjo feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ