Jinsi ya kufuga dagaa

Mods, nyuzi kama hizi msizipoteze tafadhali. Hazina comments nyingi lakini zina tija kubwa kuliko zile zinazojirudia rudia kwa kuwa tu waanzishaji ni wavivu kusoma zilizotangulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kijana wa mbwanji
 
Kaburi limefukuliwa tayari.. Eti ufugaji wa dagaa! Huyu jamaa aliwaza nini?
 
Dagaa wanafugika kama jamaa alivyoonyesha kwenye video hapo youtube
 
Niliwahi ambai na mtalaamu kwamba Dagaa wanataka kina kirefu sana, sasa hilo bwawa lako hakikisha lina kina kirefu balaaa, kwenye kina kifupi huwezi wakuta kamwe,

Wale dagaa unao waona kama wa Ziwa Victoria si kwamba wana miezi miwili au mitatu hapana wengine wana miaka hata 6, yaani ndo walivyo hawakui zaidi ya pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa aina ipi? Kuna aina nyingi sana za Dagaaa, Dagaa wa Ziwa Tanganyika huwzi wakuta ziwa Victoria make mazingira yake ni ziwa Tanganyika, na Dagaa wa Ziwa Victoria hiwezi wakuta Tanganyika kamwe, na kadhalika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ee bana eee. Eneo hili linahitaji utafiti hasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao uliowaweka kwenye picha ndio dagaa unaowasemea?
 
Nitewaona watu wa TAFIRI hapa Kyela kisha nitaleta mrejesho hapa. Wao washafanya tafiti kahaa kuhusiana na hawa kitu. Tanzania Fisheries Research institute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawafugiki kutokana kuwa wanazaliana kwa wingi na kwa haraka na wanahitaji eneo kubwa sana, maji yawe masafi yenye hewa ngingi ndio maana utawaona baharini au ziwani tena wanapendelea kukaa mbali siyo pembeni
 
Hili la kutafuta boti, ikiwezekana wizara husika ilete boti za kisasa za uvuvi wananchi wanunue kwa mikopo, kwa vicoba au hata kwa cash lakini ziwepo sokoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…