Jinsi ya Kufuga Kuku wa Chotara(Sasso) na Kupata Faida nzuri,mayai zaidi ya 300 kwa muda wiki 75!

Jinsi ya Kufuga Kuku wa Chotara(Sasso) na Kupata Faida nzuri,mayai zaidi ya 300 kwa muda wiki 75!

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
Wana JF,Za masiku?

Watu wengi wanatamani kuanza Ufugaji wa Kuku na wanatamani wakianza kufuga Kuku wasikutane na majanga ya Kuku zao Kufa au Kudumaa au ukuaji hafifu!

Ukija kuangalia watu wanaogopa kufugua broiler maana wanakufa kiurahisi na pia hawapendi Kufuga Kuku wa kienyeji maana ukuaji wao upo slow sana ndio maana hawa Kuku Chotara aka Sasso wanapendelewa sana kufungwa , especially kama unaanza Ufugaji wa Kuku kwa mara ya kwanza,ni wazuri kujifunzia Ufugaji na biashara ya Kuku kiujumla

Tumeandaa Muongozi wa BURE unaomsaidia mtu yeyote anayetamani kuanza Ufugaji wa Kuku wa Chotara(Sasso) unaopatikana ndani ya Fuga App bure kabisa!

Utajifunza ;
-Jinsi ya Kuchagua Vifaranga Bora na Kulea Vifaranga
  • Jinsi ya Kuwafuga ili upate faida zaidi(jinsi ya kuchambua mitetea wenye mayai mengi)
  • Lishe Sahihi ya Kuku Wa Chotara
  • Tabia za Kuku wa Chotara
  • Matatizo common kwa Kuku wa Chotara

Na mengineyo mengi,lakini pia kuna makala mbali mbali kama unataka kujifunza kuhusu Ufugaji wa Kuku wa Mayai(layers) au Kuku wa Nyama (Broiler)
Screenshot_20260828_193528_com_primaxtz_fuga_MainActivity.jpg

Makala zote zinapatikana ndani ya Fuga App.
Pakua Fuga App Leo ni bure kabisa na inapatikana App store na Playstore,kisha nenda kwenye kipengele cha "Jifunze" huko ndo utapata Elimu ya Kisasa kuhusu Ufugaji wa Kuku aina mbalimbali
 
Back
Top Bottom