Jinsi ya Kufuta Akaunti Hapa JF

Jinsi ya Kufuta Akaunti Hapa JF

Amanijoseph86

Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
13
Reaction score
18
Habari, Hivi karibuni tumefungiwa akaunti yetu kwa kushare na watu link ambayo hata sio dofollow, tunaona sababu hizi sio za msing kwani watu wengi hu share link mbalimbali hapa JF bila kufungiwa akaunti. Tumefanya mazungumzo na tumefikia hatua sasa tumeamua kufuta akaunti yetu hapa JF na tunasikitika kwa hilo... Akaunti yenyewe ni @tanzaniatech hivyo kwa mtu yoyote mwenye kujua jinsi ya kufuta akaunti hapa JF au njia ya kuwasiliana na wahusika tafadhali toa maoni yako hapo chin.
 
Back
Top Bottom