JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Wakuu,
Tunatambua kuwa inawezekana ukataka kufuta akaunti ndani ya mtandao wa JamiiForums.
Tokana na changamoto anuai, hatujaweka urahisi wa kufanya hivyo kuepusha wadau wanaoanzisha vurugu na kisha kufuta akaunti haraka. Tumeweka urahisi wa kubadilisha ID ili kwa wale ambao wasingependa utambulisho walio nao wafanye hivyo haraka; angalia kwenye settings za akaunti yako.
Tafadhali wasiliana nasi kupitia [email protected] na uambatanishe ID unayotaka ifutwe au hata kubadilishwa (ingawa una uwezo wa kufanya hivyo mwenyewe). Tumia email ambayo kufungulia akaunti husika unapowasiliana nasi.