Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Tafuta mafuta ya bio oil (wauzaji mafuta ya ubuyu mkae kando hapa. Manake hata ya olive oik hayasaidii). Hakikisha unapata genuine product ya johnson&johnson. Uwe mpole manake utatumia walau mwaka mzima ndio utaona matokeo yake. Ukibeba mimba tena hakikisha toka mwanzo unatumia mafuta haya kwa kumassage tumbo na mapaja kila siku (kama una wa kumdekea inakuwa ndo kibarua chake lol)
 
Kila shetani na mbuyu wake jamani, kuna watu wanaosema huwa wanavutiwa sana (hanjamu) wakiona tu michirizi hasa ile ya kushuka kiunoni, na ndio maana wanaume wengi huwa bize sana wakiona mdada kainama kucheki kama ana michirizi (japo wapo wanaoichukia pia) udadisi wangu kwa akina dada wengi ni kama wanaichukia sana michirizi, hasa wale wanene maana kuna ambayo utafikiri ni ukoko wa siku nyingi wala haivutii tena....binafsi navutiwa sana na michirizi

nimewahi ona picha za Wema S, ana michirizi fulani hivi ambayo inashuka hadi mapajani.....mhhh

Je wewe unaoionaje michirizi? images (1).jpg
chic.jpg
images (3).jpg
 
eem MUNGU niepunshe! bio oil ndo maana siiachi kwa kweli
mafuta ya nazi na vaseline ndo vipodozi vyangu
HUYO DADA MWAMBIE ANITAFUTE NIMUAMBIE JINSI YA KUJISUGUA NA NAZI NA PUMBA..
 
eem MUNGU niepunshe! bio oil ndo maana siiachi kwa kweli
mafuta ya nazi na vaseline ndo vipodozi vyangu
HUYO DADA MWAMBIE ANITAFUTE NIMUAMBIE JINSI YA KUJISUGUA NA NAZI NA PUMBA..
lazima atakua na wadau wake humu
 
Back
Top Bottom