BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Habari yako,Je umepata suluhu ya tatizo hilo?Ningependa kukujulisha kuwa Edmark tuna bidhaa inayoitwa CoCollagen ambayo inaweza kukusaidia. Ngozi zetu zimetengenezwa na protein za aina nyingi na mojawapo kati ya hizo ni collagen ambayo imeundwa na amino acids hydroxyproline.
Hydroxylysinee na glycine. Cocollagen hukupatia hizo amino acids muhimu na husaidia kutengeneza protein hii muhimu kuipa ngozi yako umaimara na afya nzuri na kuondoa michirizi na makunyanzi.
wasiliana nami kupitia 0685661790 kwa maelezo zaidi
Kweli binadam tupo tofauti...hivo vitu nikiviona nyuma ya goti moyo wangu unakwenda mbio kama lowasa kaona fomu ya uraisi....haswa haswa vikiwa vidogo mi hoi
Tyta
Huyu anaonekana kabisa amejichubuaku na ile michirizi ya asili haitokani na vipodozi
ila kila mtu na upendeleo wake mwingine hiyo michirizi anaona pambo kabisa na anaifurahia.
Habari yako,Je umepata suluhu ya tatizo hilo?Ningependa kukujulisha kuwa Edmark tuna bidhaa inayoitwa CoCollagen ambayo inaweza kukusaidia. Ngozi zetu zimetengenezwa na protein za aina nyingi na mojawapo kati ya hizo ni collagen ambayo imeundwa na amino acids hydroxyproline.
Hydroxylysinee na glycine. Cocollagen hukupatia hizo amino acids muhimu na husaidia kutengeneza protein hii muhimu kuipa ngozi yako umaimara na afya nzuri na kuondoa michirizi na makunyanzi.
wasiliana nami kupitia 0685661790 kwa maelezo zaidi
toa evidence na mimi nitoe zangu
Na huyu je?
Kuna michirizi kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa maana hata nionapo huwa hainifurahishi kabisa.
mi naipenda sana, ila sio ya ubonge, alafu demu awe nayo nyuma ya goti na pia uikute pembezoni mwa kiuno, Inatia hamasa sana!Kuna michirizi kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa maana hata nionapo huwa hainifurahishi kabisa.
Astaghafirallah ............. nikipata kama hii nakula ndogo na kubwa.Ila sio huyu labda kama una wazim
Astaghafirallah ............. nikipata kama hii nakula ndogo na kubwa.
sasa kwani umeambiwa hii ni dawa?
unafahamu collagen?
unafahamu inatengenezwa na amino acids zipi? na hizo zinapatikana wapi?
unafahamu kazi ya collagen katika uundwaji wa ngozi?
sidhani kama ni busara kuponda bidhaa moja kwa matatizo uliyopata kutokana na bidhaa nyingine. kama ulishindwa kupata suluhisho la tatizo lako haimaanishi kuwa halina suluhisho au kwamba kila bidhaa itakayotangazwa ni uwongo. kabla ya kutoa maneno kama hayo nni vyema kuthibitisha beyond reasonable doubt