Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Habari yako,Je umepata suluhu ya tatizo hilo?Ningependa kukujulisha kuwa Edmark tuna bidhaa inayoitwa CoCollagen ambayo inaweza kukusaidia. Ngozi zetu zimetengenezwa na protein za aina nyingi na mojawapo kati ya hizo ni collagen ambayo imeundwa na amino acids hydroxyproline.

Hydroxylysinee na glycine. Cocollagen hukupatia hizo amino acids muhimu na husaidia kutengeneza protein hii muhimu kuipa ngozi yako umaimara na afya nzuri na kuondoa michirizi na makunyanzi.

wasiliana nami kupitia 0685661790 kwa maelezo zaidi

Duh kumbe adi linadawa. Basi ni tatizo
 
Kweli binadam tupo tofauti...hivo vitu nikiviona nyuma ya goti moyo wangu unakwenda mbio kama lowasa kaona fomu ya uraisi....haswa haswa vikiwa vidogo mi hoi

hahahahahahaha!ww mtu ni shidah!
 
Tyta

Huyu anaonekana kabisa amejichubuaku na ile michirizi ya asili haitokani na vipodozi
ila kila mtu na upendeleo wake mwingine hiyo michirizi anaona pambo kabisa na anaifurahia.

Katika familiayetu tunahiyo michirizi wa kiume na wakike wote.
 
Last edited by a moderator:
Habari yako,Je umepata suluhu ya tatizo hilo?Ningependa kukujulisha kuwa Edmark tuna bidhaa inayoitwa CoCollagen ambayo inaweza kukusaidia. Ngozi zetu zimetengenezwa na protein za aina nyingi na mojawapo kati ya hizo ni collagen ambayo imeundwa na amino acids hydroxyproline.

Hydroxylysinee na glycine. Cocollagen hukupatia hizo amino acids muhimu na husaidia kutengeneza protein hii muhimu kuipa ngozi yako umaimara na afya nzuri na kuondoa michirizi na makunyanzi.

wasiliana nami kupitia 0685661790 kwa maelezo zaidi

Muongo,za asili hazitibiki ng'o!labda aliejiaharibu na mikorogo.
 
Ukweli michirizi hii inatia hamasa. Binafsi naipenda ile ya asili siyo ile ambayo ni matokeo ya chemicals. Ngozi ikiwa smooth sana yaani uniform haipendezi kama ikiwepo michirizi ambayo si mingi kupitiliza.
 
toa evidence na mimi nitoe zangu

Evidence ya nn? wakati mm ndio ninavyo kwenye mwiliwangu?na nimeshadanganywa na kila aina za dawa.kumbuka mm za kwangu ni za asili co za mkorogo!
 
Topic ngumu.... Asilimia kubwa ya wanawake waliozaa wanayo, sasa sijui utakuwa unaacha kila mke akizaa
 
Kuna michirizi kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa maana hata nionapo huwa hainifurahishi kabisa.

wengine wanazo adi kwa chuchu,,, inaniudhi mim bas tu.
 
Kuna michirizi kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa maana hata nionapo huwa hainifurahishi kabisa.
mi naipenda sana, ila sio ya ubonge, alafu demu awe nayo nyuma ya goti na pia uikute pembezoni mwa kiuno, Inatia hamasa sana!
 
stretch mark means either of these two things....you were big and you got small(fat to thin) or you were small and you got big(thin to fat).....either way punani is punani....
 
Ila sio huyu labda kama una wazim
attachment.php
Astaghafirallah ............. nikipata kama hii nakula ndogo na kubwa.
 
mi napendaga michirizi hasa ikiwa ikiwa midogo midogo
 
Fanya hivi.....mpatie treatment kwa hiyo bidhaa yako, ikifanikiwa kumuondolea hiyo michirizi ndo anakulipa.
Tumalize ubishi

sasa kwani umeambiwa hii ni dawa?
unafahamu collagen?
unafahamu inatengenezwa na amino acids zipi? na hizo zinapatikana wapi?
unafahamu kazi ya collagen katika uundwaji wa ngozi?
sidhani kama ni busara kuponda bidhaa moja kwa matatizo uliyopata kutokana na bidhaa nyingine. kama ulishindwa kupata suluhisho la tatizo lako haimaanishi kuwa halina suluhisho au kwamba kila bidhaa itakayotangazwa ni uwongo. kabla ya kutoa maneno kama hayo nni vyema kuthibitisha beyond reasonable doubt
 
Back
Top Bottom