Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

michirizi ni ya unene.. ngozi imetanuka mpaka ikaacha alama flani hivi. inapendeza sana kwa wadada.. japo kuna baadhi ya wanaume hawaipendi.
 
Michirizi maana yake huyo mtu amenenepa kwa kipindi kifup
 
Ni stretch marks, eidha alikuwa mwembamba alawa bonge/ mnene/ akaongezeka na kufanya ngozi kulaZimika kutanuka au alikuwa bonge/ mnene na akawa mwembamba husababisha hizo stretch marks.
 
Inaashilia huyo dada ananyege nyingi sana halaf huyo pia ni mtam sana akiwa kwenye mechi according to the biological factors
 
Habari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.

Mwili mzima au baadhi ya maeneo? Sio genetic kweli? Kwani ina madhara yoyote kiafya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…