Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Mbona hiyo ndio inaongeza utamu mkuu,usiitoe.
 
Habari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.
Wasiliana nami nina bidhaa za oriflame zinazomaliza tatizo la mistari ya mwilini.....
Iwe ya tumboni kwa wanawake,
Iwe ya miguuni karibu na mapaja
Iwe ya mikononi yote inamalizwa.
Namba yangu ni
Call/Whatsapp 067364638
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…