Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Wataalamu tunaiita contours, ni katika zile 10Qs za mwanamke
 
Reactions: bdo
Ni dalili moja wapo ya UKIMWI ambapo huonesha njia kuu ambazo virusi hupita
 
Hii michirizi tunayoijadili hapa inatokana na kutojistiri kwa dada/mama zetu.
Wangekuw wanajistiri tungekuw hatuioni,hivo tusingeijadili hapa
Kutokujistiri kivipi? Watu wana wake zao, wana wapenzi wao wanaionea vyumbani mwao. Au na huko wanatakiwa wasivue nguo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…