Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

 
Mi huwa nachanganyikiwa kabisa ninapomuona mwanamke au msichana ana ile mistari/michirizi kwenye miguu yake.Kuanzia sehemu za mapajani kwa nyuma ya miguu kwa kweli sijui nisemeje lakini ukweli ndio huo...........!!

Hatari sana weye, yaani unavutiwa na "Gonjwa???" hiyo michirizi unayoipenda mzee, ni sawa na kutuambia weye wapenda pia mwanamke anayeugua ugonjwa wa "michirizi" kwenye ngozi (stretch marks). Ni sawa pia kusema unaweza kuvutiwa na mwanamke mweye kifaduro, kwasha koo, kisonono nk.


Na hii hapa:

Au ulikuwa ulikua una maamisha michirizi kama hii???.

 
hee hivi kumbe hata 'HEs' nao huwa wanakuwa nayo yale mamichirizi, katika pekua pekua yangu yoote hadi umri huu wa miaka 45 sijawahi kukutana na 'he' mwenye michirizi! kumbe bado sijawamaliza niendelee na utafiti wangu!! thanks for the info

Hahaha! Leo ngoja niwahi kuchomoka ofisini! Kumbe nimeingia kwenye kitchen party bila kujijua!

X-pin hujatulia kabisa, yaani umenichekesha sana! 🙂
 
ngoshwe,
Yaani wewe wala usipate shida ndugu yangu mimi mazee hizo strechi marks hata sidhani kama kuna mtu humu ataweza kunibadirisha uelekeo. Jamani sijui kama raha ninayopata mimi nyie mnaijua. Ehh! ngoja ninyamaze lakini wale wanaojua matumizi ya hizo sijui ndio zebra crossing watakuwa wanaelewa naongelea nini hapa. Kwani mbona kuna watu wanapenda kuvuta sigara na wanajua wazi kuwa inaleta maradhi na ni upotevu wa pesa?? Niacheni jamani najua wengine mnayapenda basi tu mnaponda!!!
 

Mh, wewe! Unaniongelea mimi nini?
 
utamjuaje? au ndio mambo ya kutest?
 
umenikumbusha jamaa yangu mmoja tulikuwanaye hapa univasite.
yeye alizoea kunambia kuwa huwaanachanganyikiwa kabisa akiona kachupi ka-mdada kanatokeza kwa kiuno hasahasa kanapokuwa keupe basi yeye mambo huku chini yanakuwa kama vile anataka kupandisha bendera
 

Mimi hapa,niPM!
 
Wana JF,

Mwenzenu huwa nasisimka nikiona michirizi ya miguuni mwa kina mama, hasa mguu unapokuwa ni wa bia na mwororo (smooth). Mie nikiona hivyo, nywele hunisisimuka, na huba humwangukia mwenye miguu ya aina hiyo.

Hakika nia maajabu ya Mungu. Kuna siri gani katika michirizi hiyo? Mimi ni tofauti na wanaume wengine? Naomba wanasaikolojia mnisaidie.
 

Kabisa. Mie sina ufagio.

Mimi hiyo michirizi naionaga kwa wanawake wanene (turbo) wale wanao-abuse au kufakamia misosi na bia za ofa *pun very much intended*
 
Hiyo michirizi inasababishwa na ngozi kutanuka shauri ya unene.Ni stretch marks..no magic or anything. Wakati wengine inawakera kumbe kuna wengine inawafurahisha! Kweli binadamu kiumbe wa ajabu sana.Wanawake wanajitahidi kutafuta tiba kuiondoa kumbe kuna wenye kuitamani!
 
Kwa kweli tunatofutiana, mimi ngozi ya demu yenye michirizi sipendi hasa akiwa mnene mweupe michirizi hadi kwenye kwapa/mikono, kwa mimi no no no no.
 
Huwa inaitwa kwa lugha nzuri michirizi ya utamu, wengi tunaipenda ila hatutaki kusema ukweli ila isizidi sana inakuwa kero zaidi kuliko raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…