Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
wos umenena,,,kwa hakika ckujua kama kuna watu wanaipenda!!!!
Sio lazima wanene. Wako wanamama wembamba lakini wamejaliwa michirizi hiyo. Naipenda balaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wos umenena,,,kwa hakika ckujua kama kuna watu wanaipenda!!!!
wos umenena,,,kwa hakika ckujua kama kuna watu wanaipenda!!!!
Kumbe tuko wengi mi nilidhani niko peke yangu.......................
kuna wengine wanapata hizo michirizi sababu ya kutumia dawa za kujichubua,unakuta ni dada mwembamba lkn anayo wkt mara nyingi huwapata walio wanene.
Hiyo michirizi inasababishwa na ngozi kutanuka shauri ya unene.Ni stretch marks..no magic or anything. Wakati wengine inawakera kumbe kuna wengine inawafurahisha! Kweli binadamu kiumbe wa ajabu sana.Wanawake wanajitahidi kutafuta tiba kuiondoa kumbe kuna wenye kuitamani!
mmmh mi huwa najisikia kutapika hasa nikiona mwanamke mnene amevaa nguo ya kata mikono halafu ana michirizi na anavuja jasho aaagh na miguuni ndo kabisaaa huwa nahisi wananuka
Muone...ukabila unahusu nini hapa?Hii huwezi ikuta kwenye mguu wa kichaga. Naamini hata wengi walioiponda humu ni wao...
Mi sijaona.Kuna wengine wenye maumbo ya kawaida wanakuwa nayo; si wanene tu.
Hiyo michirizi inasababishwa na ngozi kutanuka shauri ya unene.Ni stretch marks..no magic or anything. Wakati wengine inawakera kumbe kuna wengine inawafurahisha! Kweli binadamu kiumbe wa ajabu sana.Wanawake wanajitahidi kutafuta tiba kuiondoa kumbe kuna wenye kuitamani!
Hapo kwenye red....hayo ndo mautamu tamu yenyewe, mungu anatupenda wanaume!!Wana JF,
Mwenzenu huwa nasisimka nikiona michirizi ya miguuni mwa kina mama, hasa mguu unapokuwa ni wa bia na mwororo (smooth). Mie nikiona hivyo, nywele hunisisimuka, na huba humwangukia mwenye miguu ya aina hiyo.
Hakika nia maajabu ya Mungu. Kuna siri gani katika michirizi hiyo? Mimi ni tofauti na wanaume wengine? Naomba wanasaikolojia mnisaidie.
Wanawake dizaini hiyo ni watamu mno, asikuambie mtu, ukimpata katambike...!!Sio michirizi ya aina hiyo WoS; huyu anazungumzia michirizi fulani inayokuwa kwenye miguu karibu na paja lkwa nyuma. Hiyo hata mie huwa inanisisimua sana. Huwa kama michirizi fulani kwenye embe iliyoiva vizuri, na mara nyingi embe za aina hiyo huwa tamu sana. Bila shaka ndio maana wengine wanaamini wenye michirizi hiyo pia huwa ni watamu sana, ndio maana inaitwa michirizi ya utamu.
Wana JF,
Mwenzenu huwa nasisimka nikiona michirizi ya miguuni mwa kina mama, hasa mguu unapokuwa ni wa bia na mwororo (smooth). Mie nikiona hivyo, nywele hunisisimuka, na huba humwangukia mwenye miguu ya aina hiyo.
Hakika nia maajabu ya Mungu. Kuna siri gani katika michirizi hiyo? Mimi ni tofauti na wanaume wengine? Naomba wanasaikolojia mnisaidie.
Unaonaje kama utapunguza ukali wa maneno yako maana kama wewe huwapendi kuna watu wanawapenda na kwa remarks za namna hii ni kama unakosoa uumbaji wa mola na kwa nchi za ulaya ukimwita mwanamke mnene mtagombana sana.
Usisahau siku moja utakuwa na watoto wanene au mke wako anaweza kujifungua akabadilika umbo akawa bonge la Bimbo
Hapo kwenye red....hayo ndo mautamu tamu yenyewe, mungu anatupenda wanaume!!
Sio michirizi ya aina hiyo WoS; huyu anazungumzia michirizi fulani inayokuwa kwenye miguu karibu na paja lkwa nyuma. Hiyo hata mie huwa inanisisimua sana. Huwa kama michirizi fulani kwenye embe iliyoiva vizuri, na mara nyingi embe za aina hiyo huwa tamu sana. Bila shaka ndio maana wengine wanaamini wenye michirizi hiyo pia huwa ni watamu sana, ndio maana inaitwa michirizi ya utamu.

Yeah una tofauti na mimi. Mie hainisisimui hata kiduchu, naionaga ya kawaida tuMimi ni tofauti na wanaume wengine?
Na ushauri wa bure ni bomba zaidi kwa wanashindwa kupii..... Maaana hawa huwa watamu kama una wenge la haraka utajikuta unapii fasta na kumwacha yeye kabaki anakushangaa