nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,250
...acheni ujinga...michirizi hii si urembo wala nini bali ni maradhi...Ni dalili ya maradhi yaitwayo cellulititis (inflammation of the fat tissue)......demu mwenye hii kitu ni wa kutibiwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...acheni ujinga...michirizi hii si urembo wala nini bali ni maradhi...Ni dalili ya maradhi yaitwayo cellulititis (inflammation of the fat tissue)......demu mwenye hii kitu ni wa kutibiwa....
Kuna michiri kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa maana hata nionapo huwa hainifurahishi kabisa.
% Kubwa ya wanawakewaliokwisha zaa hutokewa na hiyo mi napenda ila sina!
Vijana wa siku hizi bure kabisa, Hiyo tunaiita mistari ya utamu
Mrudi jando
Kweli binadam tupo tofauti...hivo vitu nikiviona nyuma ya goti moyo wangu unakwenda mbio kama lowasa kaona fomu ya uraisi....haswa haswa vikiwa vidogo mi hoi
Kweli binadam tupo tofauti...hivo vitu nikiviona nyuma ya goti moyo wangu unakwenda mbio kama lowasa kaona fomu ya uraisi....haswa haswa vikiwa vidogo mi hoi
Kuna michirizi kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa maana hata nionapo huwa hainifurahishi kabisa.
its not normal to women.
inawapotezea mvuto kabisa.
Mkuu endelea na somo basi!
Hahhahaha mzeee unataka utafute binti wa kihaya nn uloweshe godoro?
Kama hii hapa wakuu
Umeona kitu hicho. .vitu kaa hivyo watu weupe hawajajaliwa navyo ndo mana mzungu hata akijifunua vipi barabarani hakuna anaemwangalia....asante mpigapicha
Dah uko deep sana mkuu!
Anyway umenikumbusha mbali coz sikuwahi kufikiria kama ni jambo linalowezekana hivyo niwaka nagoogle na kusoma articles mbali mbali
One day bwana nikasema No
I have to try this
Kweli ikawa
and siku ingine tena l tried pia ikawa!
So kwa mwanaume huwa unajiona kidume coz unamuuliza mdada
Have you ever met a man na akaweza hili zoezi?
Imagine jibu linakuja
big NO!
Mura asikwambie mtu