Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Hii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhani
Inapatikana wapi hiyo parachute
 
Habari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.
Michirizi ya sehemu gani?
 
Habari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.
Mumie kuna bidhaa pia za kampuni ya Oriflame, ambazo zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.. Huindoa kabisa michirizi bila kuharibu ng'ozi yako.. Karibu
 
Habari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.
Mamy tumia mafuta ya nazi yanasaidia Sana tena ukiweza kutengeneza mwenyewe utaleta mrejesho hapa.
 
Habari wana JF,

Kuna kitu najiuliza mbona wamama wa zamani hawakua na michirizi kama ambavyo wa siku hizi wanayo? Nimekaa nimetafakari karibia wanawake wote watu wazima ninaowafahamu hawana hii michirizi.

Ila kwa sasa hivi almost wanawake wengi wanayo, utakuta mtu hatumii cream ni mweusi lakini ana michirizi, inaeza kuwa inasababishwa na nini, vyakula tunavyokula au kitu gani?
 
Ngoja wanakuja ,subiri hapo hapo maana walikuwa uko clouds yangu asubuhi
 
michirizi inasababishwa na mavipodozi yenye machemical mabaya paka zako nazi uone kama utapata mchirizi
Mwingine anapata michirizi baada ya kuzaa, ila zamani mtu anazaa watoto 7 ila humkuti hata na kimstari kimoja.

Wapo wanaopaka baby care na wana michirizi.
 
Mwingine anapata michirizi baada ya kuzaa, ila zamani mtu anazaa watoto 7 ila humkuti hata na kimstari kimoja.

Wapo wanaopaka baby care na wana michirizi.
kwa sababu ya reaction ya machemical kwenye ngozi
 
Back
Top Bottom