Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Mi sijawahi kuona ngoja nimuite DADA wa jirani nimuombe anioneshe
 
  • Thanks
Reactions: SDG
1cda41debd9cc30c05e30893e5f913f3.jpg
utamu mtupu huo....
Mmmh, hata kama nimeshalipia kiingilio, nasamehe pambano
 
vipodozi feki
Is it not varicose vein??????? Miss natafuta , acha simple answers! tafuta ukweli kutoka science! Kwa utafiti upi ulioufanya kuja kusema hivyo? Miss natafuta????? nadhani wewe ndani humu ni msomi au najichanganya!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
vipodozi feki
Wala siyo vipodozi bali kitaalam husababishwa na abruptly aging of the skin ambayo husababishwa na kutokunywa maji kwa wingi pamoja na ulaji wa vyakula vibovu na visivyorutubisha ngozi kama vile chips yai, pilau, wali, sembe e.t.c. Vyakula hivi ndo ambavyo huzeesha ngozi upesi na kusababisha michirizi hiyo.Michirizi ni matokeo ya abruptly skin aging!....ila pia kuna vipodozi ambavyo huwa vinazeesha ngozi haraka na kusababisha michirizi hiyo ila siyo common sana ukilinganisha na vyakula
 
Stretch mark husababishwa na ngozi kutanuka kwa unene au kusinyaa kwa kutoka unene kuwa mwembamba. Hazichukizi kama zipo natural ila wengi wanaziharibu kwa kupaka chemicals kwa mfano wanaojichubua.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
hata wanaume wanayo kwa taarifa yenu msije mkaanza kusakama wanawake tu,
 
Wala siyo vipodozi bali kitaalam husababishwa na abruptly aging of the skin ambayo husababishwa na kutokunywa maji kwa wingi pamoja na ulaji wa vyakula vibovu na visivyorutubisha ngozi kama vile chips yai, pilau, wali, sembe e.t.c. Vyakula hivi ndo ambavyo huzeesha ngozi upesi na kusababisha michirizi hiyo.Michirizi ni matokeo ya abruptly skin aging!....ila pia kuna vipodozi ambavyo huwa vinazeesha ngozi haraka na kusababisha michirizi hiyo ila siyo common sana ukilinganisha na vyakula
Sasa kama vyakula hivi vinasababisha kuzeeka haraka,ttumie vyakula gani walau kuzuia hilo lisitokee mapema japo litakuwepo tu
 
Hili ni tikiti maji
Tikiti maji kabisa. Huyo sasa ametumia kichubuzi ndio maana ngozi yake iko hivyo. Natamani wanawake wenye stretch mark wangejua kiasi gani stretch mrk zilizoharibiwa na creamy zinavyochukiza. Hapo hata mwanaume kukugusa ni kinyaa.
 
Mm mtu aliyejichubua huwa sitaki kuona hata paja lake maana najua nitakutana na michirizi isiyovutia kama hii...ni sawa na kuangalia nyama iliyo buchani
 
Back
Top Bottom