Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Hakuna dawa ya kuondoa strech marks..labda laser treatment!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kuacha mikorogoHakuna dawa ya kuondoa strech marks..labda laser treatment!!
msaada tafadhali, anaefahamu dawa au mafuta yoyote yanayoonda michirizi (stretch marks)
Hujambo pacha?Upo poa sasa?na kuacha mikorogo
Pole ndugu yangu,,,,,tumia Bio Oil nzuri sana!!
asante wangu! unajua hzi stretch marks ni kero sana! ngoja nitumie hiyo, i hope zitapungua kama co kuisha kabisa
kwani upo wapi maana mimi nipo simiyu na ninazipata kwa 30 dar kuna hadi 15...si unajua tena mambo ya vitu feki mwenge..ila maduka ya ukweli ni 25 to 30
ile ya wajawazito nayo inaitwaje?Pole ndugu yangu,,,,,tumia Bio Oil nzuri sana!!
Samahani: cz sio muhusika wa kupaswa kukujibu ila si vibaya kama nikakusaidia kukuelekeza yanapopatikana
BIO OIL zipo tena nyingi tu
Kama upo hapa hapa Bongo we nenda MaryRose Cosmetics,,Nakiete
Ama Maduka yoyote ya Pharmacy ama Cosmetics na utayapata
Bei: Chupa ya saizi ya kati inauzwa 25,000 TSH/ =
Kazi kwako!!
Samahani: cz sio muhusika wa kupaswa kukujibu ila si vibaya kama nikakusaidia kukuelekeza yanapopatikana
BIO OIL zipo tena nyingi tu
Kama upo hapa hapa Bongo we nenda MaryRose Cosmetics,,Nakiete
Ama Maduka yoyote ya Pharmacy ama Cosmetics na utayapata
Bei: Chupa ya saizi ya kati inauzwa 25,000 TSH/ =
Kazi kwako!!
Hakuna dawa ya kuondoa strech marks..labda laser treatment!!
Labda za kupunguza lakini si kuondoa!!Zipo....
msaada tafadhali, anaefahamu dawa au mafuta yoyote yanayoonda michirizi (stretch marks)