Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
ni dawa gani nzuri ya kutumia
Mimi nipo Sumbawanga mkuuMoshi pale Harsho inauzwa 1800 bei ya jumla inatakiwa ununue kuanzia 20
Zipo dawa mkuu wanaofanya hizi shughuli wanaelewaKwenye red hapo, hakuna dawa inayotumikankuhifadhi mahindi, zinazotumika kwa hiyo shughuli ni sumu.
Zipo dawa mkuu wanaofanya hizi shughuli wanaelewa
Kaka unapajua Harsho? Nimetoka hapo juzu kupeleka mahindMoshi pale Harsho inauzwa 1800 bei ya jumla inatakiwa ununue kuanzia 20
SawaMkuu haziitwi dawa zinaitwa sumu, dawa zinatumika kwa ajili ya katibu, na sumu kwa ajili yankuangamiza/kuua. sasa hizo unazotafuta wewe ni sumu sio dawa.
Chief husika na mada hapo juu, njia bora ya kuhifadhi mahindi yasiliwe na waduduKaka unapajua Harsho? Nimetoka hapo juzu kupeleka mahind
Kuna moja juzi niliona chupa yake inauzwa 180000 na kampuni moja ya ARUSHA ndy wanatumiaga...bahati mbaya sijui jina lakeZipo dawa mkuu wanaofanya hizi shughuli wanaelewa
Mkuu unaishi wapi mpaka usijue hili?sumu inawekwa kwenye chakula/mahindi
hapo kuna usalama kwa mlaji.!?
Asante chief, upatikanaji wake ukoje
Duka lolote la pembejeo za kilimo huwezi kuikosa.Asante chief, upatikanaji wake ukoje
Asante sana mkuuDuka lolote la pembejeo za kilimo huwezi kuikosa.
Sent from my SM-A5100 using JamiiForums mobile app
SawaKama ni ghali yaache tu!
Sasa wewe unahisi hizo nafaka huwa zinahifadhiwa vipi bosisumu inawekwa kwenye chakula/mahindi
hapo kuna usalama kwa mlaji.!?