Jinsi ya kuhifadhi mahindi yasiharibike

Jinsi ya kuhifadhi mahindi yasiharibike

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Nimefanikiwa kulima mahindi kwa mara ya kwanza gunia kama 100 hivi ila nahitaji kuzihifadhi store, ni dawa gani nzuri ya kutumia maana kuna wadau wananiambia ninunue mifuko inauzwa Tsh. 5000/= kuhifadhia naona ni gharama sana.
 
Mkuu haziitwi dawa zinaitwa sumu, dawa zinatumika kwa ajili ya katibu, na sumu kwa ajili yankuangamiza/kuua. sasa hizo unazotafuta wewe ni sumu sio dawa.
Zipo dawa mkuu wanaofanya hizi shughuli wanaelewa
 
Sumu inawekwa kwenye chakula/mahindi

Hapo kuna usalama kwa mlaji.!?
 
sumu inawekwa kwenye chakula/mahindi
hapo kuna usalama kwa mlaji.!?
Mkuu unaishi wapi mpaka usijue hili?

Tupe njia salama za kuhifadhi akiba ya chakula(mahindi) yasiharibiwe.
 
Back
Top Bottom