Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
- Thread starter
-
- #21
Mimi mwenyewe nimemshangaa.Mkuu unaishi wapi mpaka usijue hili?
Tupe njia salama za kuhifadhi akiba ya chakula(mahindi) yasiharibiwe.
Sent from my SM-A5100 using JamiiForums mobile app
Nikimeza mseto kwa ajili ya kuangamiza bakteria wa marelia haiufanyi mseto kuwa sumu?Mkuu haziitwi dawa zinaitwa sumu, dawa zinatumika kwa ajili ya katibu, na sumu kwa ajili yankuangamiza/kuua. sasa hizo unazotafuta wewe ni sumu sio dawa.
Nilidhani kuna mtaalam wa kuelezea namna sumu inaweza kutibu hayo mahindi na baadae kuliwa na binadamu.!?Sasa wewe unahisi hizo nafaka huwa zinahifadhiwa vipi bosi
Sio kwamba tunatibu mahindi maana mahindi hayana shida, bali tunazuia wadudu waharibifu wasiharibu mahindi.nilidhani kuna mtaalam wa kuelezea namna sumu inaweza kutibu hayo mahindi na baadae kuliwa na binadamu.!?
BTW mahindi ya kula kwa home nahifadhi kwenye pipa
Actelic, shumba miezi 6 nguvu kwisha dumuzi wanaingia kazini. Hiyo ni Dec au Jan na bei bado huwa chini. Mifuko ya tabaka tatu ukipata kwa bei ya jumla ni bora.Asante chief, upatikanaji wake ukoje