Jinsi ya kuhifadhi mahindi yasiharibike

Jinsi ya kuhifadhi mahindi yasiharibike

Sasa wewe unahisi hizo nafaka huwa zinahifadhiwa vipi bosi
Nilidhani kuna mtaalam wa kuelezea namna sumu inaweza kutibu hayo mahindi na baadae kuliwa na binadamu.!?

BTW mahindi ya kula kwa home nahifadhi kwenye pipa
 
nilidhani kuna mtaalam wa kuelezea namna sumu inaweza kutibu hayo mahindi na baadae kuliwa na binadamu.!?

BTW mahindi ya kula kwa home nahifadhi kwenye pipa
Sio kwamba tunatibu mahindi maana mahindi hayana shida, bali tunazuia wadudu waharibifu wasiharibu mahindi.
 
Back
Top Bottom