Kaliro X
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 749
- 440
- Thread starter
- #21
I real wish watu waelewe uzuri wa geog...hasa physical geog...
Yote hayo yaliyosemwa ni maneno tu na yana umuhim sana. Kama unataka kufaulu geog na sio geog tu hata history na language ni lazima kwanza uikubali na kuiridhia hiyo kombi toka moyoni na hata kama huipend au uko nusu nusu nakushaur jitaidi uipende.
Kwa geog mi nakushauri sana pamoja na kusoma vitabu ulivyoambiwa soma sana na uipende physical geog maana hii ndio engine ya geog hasa one. Na hapa watu wengi mnaosoma pure arts ndipo panawashika si kwamba hamwez ila weng wanapotoka na maneno ya watu.
Kwa upande wa geog 2hapa naimani hapatakua na tabu na hapa ndipo wengi hasa wale wabovu wa geog 1 wanapofaulu geog!! History na lg sijui kitu maana sina utaalam nayo..na katika upande wa vitabu nakushauri..
1) physical geography(land forms) of africa
2)principals of physical geography..monk house
3)na burnett
Sasa hivyo ni kama unataka kuilewa geography hasa geog1
4)mtegetwa na dt msabila pia vinaweza kukusaidia katika safari yako...
Hii si kwako tu ila kwa wanafunzi wote wanaosoma au wanaotarajia kusoma geog advance level..
Na katika swala la ratiba fanya hivi..
Tafuta somo ambalo unaona linataka nguvu ya ziada( na hapa napendekeza geog) then uwe unalisoma kila siku...kwa siku jitaid upitie masomo mawil..eg leo ni geog na history..kesho ni language na history....kesho kutwa tena geog na history!! Bila kuisahau g.s hata mara mbil au tatu kwa wiki si mbaya...
Nakuhakikishia ukiweza hii lazima tu ufanikiwe hasa geog..again jitahid kuepuka kampan ambayo si nzuri ufikapo shule!
Nb: geog=geography
Hongera na karibu katika ulimwengu wa geography..
Cc ManMoker na wote wanasoma au wanaotarajia kusoma geography..
Ahsante sana kaka.. Hureeee, umemaliza kila kitu.. umenifungua sana upeo wangu ukizingatia kwamba naipenda sana geog.. Thank you so much. :wink:
Last edited by a moderator: