JINSI YA KUINGIA TWITTER BAADA VPN KUWA HAIFANYI KAZI TENA

JINSI YA KUINGIA TWITTER BAADA VPN KUWA HAIFANYI KAZI TENA

Mayova

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2018
Posts
248
Reaction score
246
Wazee mambo vip? Hivi kuna mtu bado anaweza kuingia twitter( X)sasa hivi ? Kama yupo naomba anipe maelekezo maana miezi ya nyumba tuseme mwezi uliopita nlikua naingia twitter (X) baada ya kuwasha VPN nlikua natumia secure VPN. Siku hizi VPN haifanyi kazi tena maana yake siwezi tena kuingia twitter. Kama yupo anaye tumia twitter naomba maelekezo anafanyaje kuingia ? Asantee
 
Ni network zimekua shit siyo shida ya vpn.
Twitter bila vpn hakuna kitu mzee. Mbona mitandao mingine tunatumia unyama tu. Shida twitter bongo wameifungia ndo maana tunahangaika na hizo vpn
 
Twitter bila vpn hakuna kitu mzee. Mbona mitandao mingine tunatumia unyama tu. Shida twitter bongo wameifungia ndo maana tunahangaika na hizo vpn
Yaani namaanisha kuanzia wiki iliyopita unawasha vpn na hauingii kwakua mtandao wenyewe una shida. Siyo vpn ina shida
 
Download opera min huko inapatikana na utakua unapewa mb 50 bule kila siku lakini kwa lain ya airtel
 
Sasa wewe unataka upate vitu ambavyo vimefungiwq. Tena unataka upat3 bure.
LIPIA MZEE.
MI nililipia Express VPN tangu June 2025. Ina expire Nov 2028.
 
Back
Top Bottom