Naomba tueleze vizuri ili twende huko. Binafsi sijaelewaAchana na mavpn nenda setting halaf add proxy za nchi yoyote ambayo haijazuiwa utatumia free...
Kama ilivyo kwa telegram
How does this works majani?...guides...step by step...for beginners please...Achana na mavpn nenda setting halaf add proxy za nchi yoyote ambayo haijazuiwa utatumia free...
Kama ilivyo kwa telegram
Yaani namaanisha kuanzia wiki iliyopita unawasha vpn na hauingii kwakua mtandao wenyewe una shida. Siyo vpn ina shidaTwitter bila vpn hakuna kitu mzee. Mbona mitandao mingine tunatumia unyama tu. Shida twitter bongo wameifungia ndo maana tunahangaika na hizo vpn
WTF.
Tumelitizama tukachoka sanaWTF.
#Hili nalo mkalitizame.