Je, sisi wanaume tufanyaje?Wakuu habari za kulala.
Leo nitatoa siri ambayo wengi imekuwa inawapa shida ya kuwapelekea kusumbuka kukwaruza vocha zao kabla ya kuzijaza tena wakiwa wamezilipia.
Mimi nitakuelezeni leo jinsi ya kuepuka usumbufu wote huo.
HATUA
1. Chukua simu yako
2. Mpigie mpenzi wako
3. Mwambie akutumie vocha
4. Tayari
Hapo utakuwa umejaza vocha bure bila kukwaruza wala kukwangua.
Alamsiki
Sawa mshsngazi wenye shanga.Wakuu habari za kulala.
Leo nitatoa siri ambayo wengi imekuwa inawapa shida ya kuwapelekea kusumbuka kukwaruza vocha zao kabla ya kuzijaza tena wakiwa wamezilipia.
Mimi nitakuelezeni leo jinsi ya kuepuka usumbufu wote huo.
HATUA
1. Chukua simu yako
2. Mpigie mpenzi wako
3. Mwambie akutumie vocha
4. Tayari
Hapo utakuwa umejaza vocha bure bila kukwaruza wala kukwangua.
Alamsiki
Kuna watu wapo uraiani wakati vyumba vyao vinapulizwa na upepo uko hospitali kuu DodomaWakuu habari za kulala.
Leo nitatoa siri ambayo wengi imekuwa inawapa shida ya kuwapelekea kusumbuka kukwaruza vocha zao kabla ya kuzijaza tena wakiwa wamezilipia.
Mimi nitakuelezeni leo jinsi ya kuepuka usumbufu wote huo.
HATUA
1. Chukua simu yako
2. Mpigie mpenzi wako
3. Mwambie akutumie vocha
4. Tayari
Hapo utakuwa umejaza vocha bure bila kukwaruza wala kukwangua.
Alamsiki
ππ nimecheka sana sijui kwanini.kuna haja ya Max kuweka interview wakati wa kujiunga jf
ππKuna watu wapo uraiani wakati vyumba vyao vinapulizwa na upepo uko hospitali kuu Dodoma
Haya nipigie sasa ...