Jinsi ya Kujaza vocha Bila Kukwangua

Jinsi ya Kujaza vocha Bila Kukwangua

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Wakuu habari za kulala.
Leo nitatoa siri ambayo wengi imekuwa inawapa shida ya kuwapelekea kusumbuka kukwaruza vocha zao kabla ya kuzijaza tena wakiwa wamezilipia.
Mimi nitakuelezeni leo jinsi ya kuepuka usumbufu wote huo.
HATUA
1. Chukua simu yako
2. Mpigie mpenzi wako
3. Mwambie akutumie vocha
4. Tayari

Hapo utakuwa umejaza vocha bure bila kukwaruza wala kukwangua.

Alamsiki
 
Je, sisi wanaume tufanyaje?
 
Sawa mshsngazi wenye shanga.
 
Kuna watu wapo uraiani wakati vyumba vyao vinapulizwa na upepo uko hospitali kuu Dodoma
 
Punguza kujaza servers za JF km huna kazi ya kufanya tafuta mjuba yoyote wa 2000 akubandue Mada zako zimekua za kipuuzi Mno halafu Mada km hizi ndio mod's wa JF wanazipenda maana zinawapumbaza watu wanakua wapumbavu wajinga
 
Back
Top Bottom