Jinsi ya kujenga Familia imara Karne ya 21

Umeeleza vizuri. Ngoja waje single mothers na vijana wa kataa ndoa wakupinge.

Hawa watu ni washirika wa karibu. Kijana asiyetaka ndoa anamzalisha mwanamke ambaye anakua single mother.

Watakuja tu. Subiri. Kwa sisi makasisi familia haituhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…